Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
New ideas hazitoki kwa kiongozi bali wanachama!Imara gani? Walau Lissu alikua anakipa uhai chama ila huyu Mbowe hana new ideas na siku akifariki ghafla utatokea ugomvi mkubwa sana wa madaraka. Bora angepisha mapema wagombee wengine ili awape mentorship akiwa bado yupo Hai. Mbona Odinga kapisha na zito kapisha why ahodhi madaraka mpaka leo?
Hiki chama ndio mwisho wake huu.
..downfall gn juha wewe, hizo nadharia zenu pelekeni ccm, nenda kawatishe ccm hizo kelele za chura!Sasa hawa jamaa huwa wanahubiri ya nini kuhusu demokrasia? Kumbe ukomo ni watu? Hii downfall ya hawa jamaa inapaswa kufundishwa mashuleni
Hivyo ni vyeo ndani ya serikali na ni mali ya umma!Huu uchaguzi umetu expose sana unafiki wetu. Wanasema ubunge, udiwani na ngazi za chini uwe na ukomo wa awamu tatu mind you tulipinga JPM kuongezewa muhula. Cha ajabu leo tunapinga maneno yetu yale yale
So embarrassing
Wanachama mbona walikataa maridhiano yeye aling'ang'ania tu? Mabadiliko ni magumu kama una kiongozi asiye na nia ya dhati.New ideas hazitoki kwa kiongozi bali wanachama!
Sawa tusubiri mwakani, Mbowe anaweza badilisha upepo gani? Hiv mgombea wa Urais ni nani mwakani?..downfall gn juha wewe, hizo nadharia zenu pelekeni ccm, nenda kawatishe ccm hizo kelele za chura!
Walikataa katika kikao gani?Wanachama mbona walikataa maridhiano yeye aling'ang'ania tu? Mabadiliko ni magumu kama una kiongozi asiye na nia ya dhati.
..semeni yote mmalize wanawake nyinyi! Mwanaume mzima maneno meeengi ya nini..subiri kura zipigwe.kilichonikera sio tu kwamba mbowe hekima zimeisha, bali pia ameondoa uhalali wa mambo yote waliyokua wanapigania, kwa kauli hyo ni wazi chadema ya mbowe haitakaa iingie ikulu, kila chadema wakijitahidi kujieleza ccm hoja yao itakua simple, mbowe ni mroho wa maradaka na sio mpigania haki, ukweli wala uhuru... haya maneno ya mbowe ni fimbo tosha kuwachapia wapizani kweli kila hoja zao.
ushauri wangu kwa lissu na team yake ni kusimama imara, kufanya kampeni nzuri na za kisomi, kisha kupambanaa na mbowe kwenye sanduku la kura, matokeo yoyote ayapokee na atachokiamua kitakua ni sahihi.
ko unasema kusiwe na ukomo wa madaraka. umepotoka mkuuBinasfi kama anagombea sawa sanduku la kura ndo litaamua , aya mambo yakusema mtu asigombee ,iwe ni hiyari ya mtu ,cha msingi kura zipigwe kwenye uwazi ,kuhesabika kwa uwazi basi
Kamati kuu wajumbe walimpinga MboweWalikataa katika kikao gani?
..rudi kwenu ccm ukamalizie huo uchawa wenu huko, mambo ya chadema hayakuhusu waachie wenyewe.Sawa tusubiri mwakani, Mbowe anaweza badilisha upepo gani? Hiv mgombea wa Urais ni nani mwakani?
Nashangaa nyie wajinga wajinga ndio mna support huu upuuzi.
Siyo kweli!Kamati kuu wajumbe walimpinga Mbowe
Acheni ujinga ,katiba ya sasa ya chadema inasemaje? au imebadilishwa ? Hicho kifungu cha ukomo bado hakijafanyiwa kazi , kwa iyo mnataka mtamshi yenu ndo yawe sheria mama wakati katiba kifungu hicho bado hakijabadilshwa?ko unasema kusiwe na ukomo wa madaraka. umepotoka mkuu
Aibu sana haya mambo ilikuwa ngumu sana kuyategemea kutoka CHADEMA.Huu uchaguzi umetu expose sana unafiki wetu. Wanasema ubunge, udiwani na ngazi za chini uwe na ukomo wa awamu tatu mind you tulipinga JPM kuongezewa muhula. Cha ajabu leo tunapinga maneno yetu yale yale
So embarrassing