Mbowe, mkanye Lissu

hapana msikariri unapotafuta amani haina haha ya kutumia njia ile ile iliyopoteza amani. Tulipinga na hatukufurahia aliyotendewa Lissu na hata sasa hatukubaliani na njia anayoitumia kwakua itazidi kumuumiza yeye
 
..hoja ya walinzi wa area D kuondolewa halafu Lissu akashambuliwa haina uzito?!
ndugu kuna makosa yalifanyika tusonge mbele tuijenge nchi, Kwanza Lusi anatakiwa amshukuru saana Mungu kuliko watu woote kwamaana alistahili kufa ila Mungu alizuia Wala si madaktari wala nn. Now he need peace na si kejeli
 
Mimi huwa naamini akili za lisu ni sawasawa na akili za CCM 40 ukiwachanganya kwa pamoja, kuna Mambo mengine ya Lissu hata Mimi huwa na chukuaga muda kuyangamua lakini baadaye huwa nagundua kuwa Lissu alitumia akili kubwa Sana
Kwa kipindi hiki ninachomwomba Lissu ni aendelee tu kuwapiga spana za kichwa mpaka waseme , azory na Ben wakowapi
 
Wewe si umkanye uliyeona madhaifu yake.Mwenyekiti wa Hilo lichama hajaona chochote ameona yote poa tu.Au unaogopa.Umeandika kitabu kireefu wala sijaambua chochote.Sana sana tunazidi kuwapandisha hasira hawa jamaa.Laiti ungelijua ungewaacha tu.

Labda na Mkiti anakumbukia tulivyomfanyia huku Dar, kule kwake kwenye mashamba yake,tukayavuruga kisawasawa.Unadhani atakaa upande wako,hata ingekuwa mimi forget Mr.Hiyo isikupe shida.Mila na desturi zipo,zitaendelea kuwepo,zilikuwepo,zitabaki kuwepo,mambo yataendelea tu.

Nataka ujue na usiumie saaana,ujasiri wa huyu jamaa na nguvu aliyonayo siyo ya mwanadamu awaye yeyote.Na ukishindana naye utaumia sana.Humwezi ,wala sio size yako wala sisi hatumwezi,hivyo achana naye.Ogopa sana mtu yeyote aliyechungulia Mbingu halafu akarudi.Nguvu anayokuja nayo hutaizuia.Huyu achana naye nakushauri.
 
Kwani aliandika nini,mbona mwazunguruka tu.Mimi sijaona naona mafumbo humu.Weka hapa bana.Ili na mimi nione ubaya wake.
 
Anaboa,Hana jipya
 
Unataka nani amshauri.Si jitoe ufahamu wewe umshauri.Mbona unauza kazi bila kukubaliana malipo aisee.Njoo tukae tukubaliane tutayarishe cha kumshauri kama unacho maana si mtu wa kawaida kabisa.Kama unajiamini njoo.
 
Kwahiyo yeye alipompiga risasi hakuwahi kumuomba msamaha,ccm akili zenu kama yule mkalimani....mataga ni pisi kali
 
Stupid, of you, risasi 16 unaweza kuzitolea maelezo. Mshenzi mkubwa sana wewe. Ben na Azory wako wapi?
Hii swali linataka jibu gani tena.Hakika kipindi hiki maswali hayajibiki.Tutabaki kupat 0 tu.
 
Marehemu ndio wa ajabu,yani mataga mnatia huruma kma nyani wa ndugai
 
Kwani uwezo wa kumpa hiyo kwani tunao?????? Je atakubali????.Si unajua tulishamjeruhi,Si rahisi kama unavyotaka.
 
Yote anayofanya Tundu Lissu yana baraka za chama!
Hata kupigwa kwake risasi kulikua ni agizo la marehemu wenu,yani mtameza ulimi kipindi hiki mungu kampa kelbu moja takatifu jamaa kameza ulimi..[emoji870]kwa marehemu
 
Nimeshasema mahali fulani, ninasema tena, tundu la nanii ni mtu mjinga asiye na akili timamu na hekima ya kumwezesha kuishi maisha ya kawaida ya kibinadamu.
Kwa sababu ya huo ujinga, jamaa ameshaona hana future kwenye politics za tanzania kwa hiyo ameamua liwalo na liwe, akitaka aangamie pamoja na chadema. Wakati chadema inatafuta njia za kujijenga upya na kuwa na taswira nzuri kwa wananchi, yeye ameamua kujiropokea chochote kinachomjia akilini bila kufikiri wala kujua kwamba kwa kufanya hivyo anaihujumu chadema na kuipeleka mbali zaidi na wananchi.
Ni kweli mbowe anapaswa kusema na kuweka sawa msimamo na mtazamo wa chama, vinginevyo chadema inajichimbia kaburi la kuonekana ni chama kisichojali wananchi. Keep in mind kwamba chadema huku mitaani imeshapakwa kuwa ni vibaraka wa mabeberu!
 
Naunga mkono.

Anaonyesha hata ukimpatia nchi atakuwa mtu wa visasi,ajifunze na sio kuropoka ropoka hovyo hovyo.

Hivi ana mshauri kweli?
Ameropoka akasemaje,mbona huweki mambo hadharani ili tumchambue unabaki kusema tu kuropoka ropoka, kwani jamani kasemaje?????? Si mseme tu labda ndio anachapa kazi tena nimezungumza naye leo kwenye simu.Oooop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…