Mbowe, mkanye Lissu

Mataga/Wanyonge wanadhani kila utawala haufati sheria na taratibu.
 
Lisu anaishi kwa kutegemea 071 kwa mabeberu hawezi kuja Tanzania.View attachment 1733706
CCM mkienda ulaya kuomba omba misaada huwapigia magoti wazungu na kuwaita wafadhili wahisani lakini CCM hao hao wakifanya ujinga alafu wazungu waukatae ndipo hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Je? Ungekuwa ni wewe binafsi umepigwa risasi ukanusurika kufa ungeandika haya? Je? Ungekuwa ni wewe kutwa kuwabambikia kesi unyanyasaji uonevu kibao tokea kwa utawala wa mtukufu ungekubali?

Na ingekuwa ni wewe unafungiwa biashara zako unafungiwa Account unaporwa akiba zako mali zako kisha kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani ungekubali?

Pia ungekuwa ni wewe unaporwa ushindi kwenye chaguzi mbalimbali kwa kutumia Polisiccm, Tumeccm, wakurugenziccm, ungekubali? Kama wewe ungekubali huo ushetani wote wa mtukufu basi una hoja ya kumhoji Lisu na kama usingekubali huo upumbavu unyanyasaji wa kijinga jinga kaa utulie endelea kumuombea Le mutuz kubwa jinga apone haraka arejee kuja kuendeleza propaganda za kishamba mitandaoni
 
Cyprian Musiba, Le mutuz Bashite na wasiojulikana ndiyo walikwenda Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu kwa mjibu wa FBI waliopo ubalozi wa marekani ambao walichunguza tukio la Tundu lisu kwa Siri kwa kutumia tekinologia ya kisasa .
 
Hivi kwanini hoja za huyu Lissu zisijibiwe ?
Naona ndugu yako hana nia ya kurudi, kubadilisha jina na mtawala yaweza kuchukua siku moja.

Lakini kubadilisha utawala (establishment ) yaweza kuchukua hata miaka kumi, analazimisha wamtafute, atawakuta wanamsubiri.
 
Lazima tuweke wazi yaliyotokea kabla ya kendelea na safari. Inaitwa forgive and forget and not bury and forget.
Kibaya kuliko vyote ni ile Tabia mbovu ya task force kuwafungia wafanyabiashara biashara zao kienyeji kishamba shamba kufunga Account zao kuwachukulia pesa kiasi cha kupelekea baadhi yao kufariki kwa pressure mojawapo ni subash Patel, na wengineo kibao
 
Naona ndugu yako hana nia ya kurudi, kubadilisha jina na mtawala yaweza kuchukua siku moja.

Lakini kubadilisha utawala (establishment ) yaweza kuchukua hata miaka kumi, analazimisha wamtafute, atawakuta wanamsubiri.
Tundu Lisu anachokitaka siyo kurudi Tanzania bali anachotaka watanzania wajue ni mapungufu udhaifu madhambi ya utawala wa marehemu
 
Achana na hao ng'ombe mkuu.

Wao wakishakula majani kazi yao ni kunya tu hawana lingine.
Wametuharibia nchi sana hawa washamba
 
Marehemu alikuwa na mazuri yake mengi ikiwemo kurejesha nidhamu Serikalini kuleta maendeleo Nchini lakini pia alikuwa na mabaya yake siyo vibaya yakaachwa yaanikwe pia ili kumsaidia Rais mpya kuendeleza mazuri na kuyaacha yale mabaya yote
 
Utawala huu mpya natumai utakuwa utawala bora wenye kuthamini haki za binadamu ndiyo maana watanzania wengi wana tumaini kubwa juu Rais samia Suluhu Hassan
 
Binadamu yeyote akinusurika kufa kwa shambulio hawezi kumpenda yule aliyetaka kumteketeza kamwe
 
The Palm Tree
we subir wamfukie,labda walazimishe kumwekeka katika vombo vya habari 24/7 mwaka mzima!

labda akishachaguliwa mama samia kuwa mwenyekiti wa ccm,waombe asiyang'oe yale mabango ya magufuli yaliyotapakaa tanzania nzima!
 
Lisu anaishi kwa kutegemea 071 kwa mabeberu hawezi kuja Tanzania.View attachment 1733706
Yaani ukiona akili za wanaCCM tena wenye maamuzi kama waizi Mkuu.Unagundua kabisa wana akili hii.

Yaani ndio maana wameforce kuhype msiba ili kuwaprove wrong watu wanaosema Magu hapendwi.

CCM akii zenu mazwazwakabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…