Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Acheni kuhamasisha chiki na migawanyiko kwa taifa.Wanaccm, Salaam!
Nimepitia maandishi kadhaa ya Tundu Lissu kuhusu anavyochukulia kifo cha Rais John Pombe Magufuli - haya ni baadhi tu ya maneno yake.....