Mbowe, mkanye Lissu

Heeeh! Kumbe TAL kamtukana Mungu wa Wanyonge ???.
Muombeeni kifo basi kabla ya kuzika!
 
Mlisema hivo hivo na kina Pasco ila wananchi walitoa majibu.... Mind you alirudi kipindi cha mazishi ya Mkapa!!

Mtu kama huyu unatamchuliaje?


Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli
By Tundu AM Lissu• 22 March 2021


The late Tanzanian president John Pombe Magufuli. (Photo: Flickr / GCIS) Less


Africa did not mourn the passing of Idi Amin, Bokassa, Mobutu Sese Seko or, more recently, Robert Mugabe. It should not be mourning John Magufuli, a vicious tyrant who, with crude anti-imperialist phrase-mongering, masqueraded as a great African patriot while terrorising his countrymen and women and looting the country’s treasury in order to transform his lakeside village of Chato into Tanzania’s Gbadolite.
 
Yes kaeleza hisia zake tena ndani ya mipaka ya demokrasia.....

Kila mtu ana pande mbili duniani kwa kuwa tu ww umekutana na upande mmoja wa JPM ila Lissu alikutana na upande wa pili wa JPM ssa usilazimishe maoni yafanane maana wote mmemjua kwa sura mbili tofauti kabisa.
 
Nyie ndo mnataka kumuharibia samia wa watu.na chuki zenu
 
mnajaribu weeeeeeeee mnashindwa.. ...mae.
huyu LISSU ndio mpendwa wetu.. MEKO ni mpendwa wa MUNGU kamchukua
Tawile baba,tawile.
Tutakutana tena 2025 kwenye box la kura ndo tutajua.
Zitendwa mbali zilongwa mbali.
 
Tawile baba,tawile.
Tutakutana tena 2025 kwenye box la kura ndo tutajua.
Zitendwa mbali zilongwa mbali.
hahahaaaaa imeshatoka hiyooo tunaanza upyaaaaaa na MAMAENU ✌️ ✌️ 😛😛😛😛
 
Lissu ni purely innocent alichokuwa anaongea bungeni ni kutetea wananchi ila kwakuwa madikteta hayapendi kukosolewa mkampiga risasi Sasa akija mguseni tuone.
mwambie aje ata leo tunamsubiri kwa hamu
 
Utawala huu mpya natumai utakuwa utawala bora wenye kuthamini haki za binadamu ndiyo maana watanzania wengi wana tumaini kubwa juu Rais samia Suluhu Hassan
mwendo ni ule ule kasi mpya ari mpya msitegemee mtelemko HAPA KAZI TU
 
Cyprian Musiba, Le mutuz Bashite na wasiojulikana ndiyo walikwenda Dodoma kumpiga risasi Tundu lisu kwa mjibu wa FBI waliopo ubalozi wa marekani ambao walichunguza tukio la Tundu lisu kwa Siri kwa kutumia tekinologia ya kisasa .
Herry kisanduku aki excute order

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli angekuwa na mawazo Kama yako,asingetufikisha tulipo,mawazo ya KiCCM CCM.
 
"If you lose heart when things go wrong, your strength is not worth much." (Proverb 24:10) The logical thing to do when you are hurt is to forgive and not revenge.
 
Marehemu alikuwa na mazuri yake mengi ikiwemo kurejesha nidhamu Serikalini kuleta maendeleo Nchini lakini pia alikuwa na mabaya yake siyo vibaya yakaachwa yaanikwe pia ili kumsaidia Rais mpya kuendeleza mazuri na kuyaacha yale mabaya yote
Hili la kurejesha nidhamu serikalini mimi sikubaliani nalo,mambo yako zaidi ya kipindi cha JK(Msoga) watu sasa wanatumia akili ya ziada kupiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…