Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

"Tamaduni zenu?"

My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka.

Mimi nasema hivi;

Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia.
Dp yako nmeipenda.
Ila haina uhusiano na unayoyasema
 
huyu wala asijali, mguu wake uguse tu bongo polisi watuachie tu sisi tumshuhulikie! ule mguu mwingine bado ni mrefu
Wewe kabla hajafika utakuwa imefariki huwezi kupanga mipango ya hovyo hivyo huku mungu akakuacha kuendekeza uonevu wa kishamba shamba hivyo
 
Mimi nashauri aendelee hivyo hivyo kuropoka, atafanya nini zaidi ya hilo? Hebu mwacheni mbaba wa watu azidi kutema nyongo. Inapunguza machungu

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
CCM wanatakiwa kutumia hiyo nafasi kama njia ya kujifunza kutenda mema wakiwa hai, wamuache Tundu lisu aseme Maovu yote ili wapate kutubu waanze upya Tabia njema Nchi ipige hatua kimaendeleo
 
Ulaya America wameendelea kwa kuambizana ukweli la cha ajabu Tanzania msema ukweli huwa Adui wa CCM na hata kupigwa risasi
Kauli mbiu yao, "msemakweli ni mpenzi wa mungu'
Siku tukipata viongozi wasema kweli, wanaoweza kuiheshimu na kuitii katiba yetu, ndo hasa tutakuwa na maendeleo ya kweli.
Achana na hawa wanaodanganya hata msikitini! Katiba ndo wataiheshimu?
 
Kama ulivyo na haki ya kutoa lililokuganda moyoni na Lissu nae hiyo haki anayo

Tena afadhali ya LISU hajaanza leo kumpinga Magu ni kabla marehem akiwa hai

Wewe uliwahi muonya au kumshauri Magu?

Tusipangiane cha kufanya kwa sasa aliyezuia kisifanyike cho chote hayupo

Kikubwa hamna sheria iliyovunjwa

KUSHEREHEKEA, KUOMBOLEZA, KUHUZUNIKA NA KUFURAHI ni chaguo la ye yote sio amri, marais wote waliotangulia kuzimu ni yupi wananchi walilazimishwa kuhuzunika pamoja?

TUSIPANGIANE PLEASE
 
Hata ule umati uliofurika barabarani viwanjani siyo kwamba wote walimpenda marehemu, wengine wameenda kwa mkumbo tu,wengine wanaenda kama mashuhuda tu japo wachache wapo wenye majonzi pia kwani licha ya marehemu kuwa na mapungufu yake pia alikuwa na mazuri yake kiasi na hayo ndiyo wananchi wanayakumbuka sasa ni vyema Serikali itoe fursa kwa Tundu lisu aseme mabaya yote ili marehemu asamehewe apate kupumzika kwa Amani ya milele .
 
CCM wanatakiwa kutumia hiyo nafasi kama njia ya kujifunza kutenda mema wakiwa hai, wamuache Tundu lisu aseme Maovu yote ili wapate kutubu waanze upya Tabia njema Nchi ipige hatua kimaendeleo
Hakuna mtu kujifunza kitu. Kila mmoja aishi anavyoona yeye. Kazi zitaendelea, ccm itaendelea kushinda na lissu ataendelea kubwabwaja...maisha yatasonga, watakaokufa watakufa

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa ni wewe ulipigwa risasi ukanusurika kufa ungepangiwa cha kuongea? Ungekuwa ni wewe umefanyiwa uonevu unyanyasaji uovu kibao ikiwemo kubambikiwa kesi kibao kisha upangiwe cha kuongea ungekubali? Ebu jaribu na wewe upitie mateso kama aliyopitia Lisu ndipo utajua kuwa alichokiandika hapo juu hukuzingatia haki za binadamu zaidi ya kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani.
hata wewe hujui ya kwangu mangapi magumu nimeyapitia na sasa ni jinsi gani na pambana nayo.... Nakudhibitishia kwa nafasi yake Tundu Lissu kushindwa kuzuia hisia zake ni kutokustaarabika, hata mumtetee vip
 
CCM hawana utu. Ona wanavyomchuuza mwenzao juani kama samaki aliyechina vile
 
huyu mbuzi wenu ndo anawadanganya eti flyover hazina kazi, sgr sio muhimu! tutamyoosha wenyewe polisi watuachie kazi
Walioshindwa kumtoa roho walilipwa pesa wakafanye kazi (Wakashindwa)

Je wewe mbuzi bure tu utaweza kweli..?

Kafukie mzoga wenu kwanza
 
kama mnakumbuka kipindi cha Bunge la Katiba Tundu Lissu alimtukana Hayati Mwalimu Nyerere sasa yupo tena Hayati Magufuli, naamini angekuwa na fedha anamdai pia angeenda kumshtaki hayati. Eti huyu alitaka kuwa Rais wa Tanzania shame on him
Akili yenu huko ccm mnajua Nyerere alikuwa Malaika hakosei..

Kazike mungu wenu chato
 
Hakuna mtu kujifunza kitu. Kila mmoja aishi anavyoona yeye. Kazi zitaendelea, ccm itaendelea kushinda na lissu ataendelea kubwabwaja...maisha yatasonga, watakaokufa watakufa

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Unaongea utafikiri unakata gogo ukiwa chini ya ulinzi
 
Wewe kabla hajafika utakuwa imefariki huwezi kupanga mipango ya hovyo hivyo huku mungu akakuacha kuendekeza uonevu wa kishamba shamba hivyo

basi sawa ila sisi tunamsubiri kwa ham ule mguu mwingine bado mrefu
 
Back
Top Bottom