meemi
Member
- Mar 19, 2021
- 6
- 1
Dp yako nmeipenda."Tamaduni zenu?"
My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka.
Mimi nasema hivi;
Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia.
Ila haina uhusiano na unayoyasema