stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Walioshindwa kumtoa roho walilipwa pesa wakafanye kazi (Wakashindwa)
Je wewe mbuzi bure tu utaweza kweli..?
Kafukie mzoga wenu kwanza
basi wala asijali aje tu nchini utaelewa kichapo atakachopata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walioshindwa kumtoa roho walilipwa pesa wakafanye kazi (Wakashindwa)
Je wewe mbuzi bure tu utaweza kweli..?
Kafukie mzoga wenu kwanza
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]basi sawa ila sisi tunamsubiri kwa ham ule mguu mwingine bado mrefu
Punguza kujipendekezabasi wala asijali aje tu nchini utaelewa kichapo atakachopata
Unaonekana unapenda harufu ya maviUnaongea utafikiri unakata gogo ukiwa chini ya ulinzi
Punguza kujipendekeza
Kafanyaje Mama D?Mama D buana
Acha amtuhumu sasa mana alivyokua na uwezo wa kukanusha hakuutumia badala yake alitumia mtutu wa bunduki kumnyamazisha
Kweli kwa kauli hizi ccm ni chama cha majizi. Ko Nyie kufichua uovu wanaofanya viongozi wenu ni kosa?
Ko ccm mnafuga wezi?
Huu nao ni uchochezi na uvunjifu wa amani. Mkabilini kwa hoja siyo kwa nguvu. Tatizo ni kuwa hamna uwezo wa kupambana kwa hoja badala yake mnatumia nguvu. Hata kushambuliwa kwake kwa risasi ni matokeo ya kushindwa kuoambana naye na kujibu hoja zake kikamilifu. Mada kama hii ni ushahidi wa kushindwa kujibu hoja badala yake kujiandaa kutumua nguvu. Ujinga!
Farijika ila haiondoi ukweli wa kuuwa kina saa nane
Kwani Mbowe mwenyewe yupo hapa wapi kweli? Ila sijasikia viongozi wa ccm wakiulizia alipo Kigonzi wa chama kikuu cha upinzani nchini. Hawa ccm hawako concerned kama ilivyokuwa kwa wenzao Chadema walimuulizia Raisi alipotowekaPopote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Hivi unajua Risasi moja ilimkata Lissu dushe? Hivi unajua ni uchungu kiasi gani kuishi kama Mugabe??Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Bado mmijawa na utopolo wa meko wenukeep your word na siku akitangulia nikiwa hai na ukiwa hai ntakukumbusha kwamba atafua ughaibuni.
Farijika ila haiondoi ukweli wa kuuwa kina saa nane
Lissu sio presidential material kwa kweli bora Mbowe mara million moja! Hawezi kuzia hisia na mdomo wake.
Mwache Tundu Lissu atoe nyongo. Risasi 18 apigwe na stahili ya matibabu anyimwe ili afe. Lakini Mungu mkubwa. Watesi wake ndo wametangulia kufa.Ushauri mzuri sana.
Umesahau aliitwa mtetezi wa mashoga wakati siyo kweli?Popote ulipo mwenyekiti wa chama.