Dp yako nmeipenda."Tamaduni zenu?"
My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka.
Mimi nasema hivi;
Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia.
Wewe kabla hajafika utakuwa imefariki huwezi kupanga mipango ya hovyo hivyo huku mungu akakuacha kuendekeza uonevu wa kishamba shamba hivyohuyu wala asijali, mguu wake uguse tu bongo polisi watuachie tu sisi tumshuhulikie! ule mguu mwingine bado ni mrefu
CCM wanatakiwa kutumia hiyo nafasi kama njia ya kujifunza kutenda mema wakiwa hai, wamuache Tundu lisu aseme Maovu yote ili wapate kutubu waanze upya Tabia njema Nchi ipige hatua kimaendeleoMimi nashauri aendelee hivyo hivyo kuropoka, atafanya nini zaidi ya hilo? Hebu mwacheni mbaba wa watu azidi kutema nyongo. Inapunguza machungu
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kauli mbiu yao, "msemakweli ni mpenzi wa mungu'Ulaya America wameendelea kwa kuambizana ukweli la cha ajabu Tanzania msema ukweli huwa Adui wa CCM na hata kupigwa risasi
Hakuna mtu kujifunza kitu. Kila mmoja aishi anavyoona yeye. Kazi zitaendelea, ccm itaendelea kushinda na lissu ataendelea kubwabwaja...maisha yatasonga, watakaokufa watakufaCCM wanatakiwa kutumia hiyo nafasi kama njia ya kujifunza kutenda mema wakiwa hai, wamuache Tundu lisu aseme Maovu yote ili wapate kutubu waanze upya Tabia njema Nchi ipige hatua kimaendeleo
Nani aliyekwambia walikuwa rangi gani?Sasa walio mpiga risasi mbona Ni Ngozi nyeupe ili wachafue inchi kama walivyo fanya inchi Za kiarabu
keep your word na siku akitangulia nikiwa hai na ukiwa hai ntakukumbusha kwamba atafua ughaibuni.ntakustua siku anaingia hom na usikimbie wewe
Korona bora ya kunyongwa mara 100 aisee!Ndo maana nasema unahitaji kukaa darasani. Kunyongwa ni adhabu, kufa siyo adhabu.
hata wewe hujui ya kwangu mangapi magumu nimeyapitia na sasa ni jinsi gani na pambana nayo.... Nakudhibitishia kwa nafasi yake Tundu Lissu kushindwa kuzuia hisia zake ni kutokustaarabika, hata mumtetee vipUngekuwa ni wewe ulipigwa risasi ukanusurika kufa ungepangiwa cha kuongea? Ungekuwa ni wewe umefanyiwa uonevu unyanyasaji uovu kibao ikiwemo kubambikiwa kesi kibao kisha upangiwe cha kuongea ungekubali? Ebu jaribu na wewe upitie mateso kama aliyopitia Lisu ndipo utajua kuwa alichokiandika hapo juu hukuzingatia haki za binadamu zaidi ya kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani.
Hawa watembeza marehemu hawana akili.Wamerithi tabia mbaya sana hawa jamaa. Badala ya kujibu hoja za Lissu wao wanawaza kama marehemu, kupiga risasi na kumfanyia fujo mtu
Kunyongwa ni adhabu kisheria..Ndo maana nasema unahitaji kukaa darasani. Kunyongwa ni adhabu, kufa siyo adhabu.
Walioshindwa kumtoa roho walilipwa pesa wakafanye kazi (Wakashindwa)huyu mbuzi wenu ndo anawadanganya eti flyover hazina kazi, sgr sio muhimu! tutamyoosha wenyewe polisi watuachie kazi
Akili yenu huko ccm mnajua Nyerere alikuwa Malaika hakosei..kama mnakumbuka kipindi cha Bunge la Katiba Tundu Lissu alimtukana Hayati Mwalimu Nyerere sasa yupo tena Hayati Magufuli, naamini angekuwa na fedha anamdai pia angeenda kumshtaki hayati. Eti huyu alitaka kuwa Rais wa Tanzania shame on him
Eti wanahesabu kura.. hawa wajinga hakuna spareCCM hawana utu. Ona wanavyomchuuza mwenzao juani kama samaki aliyechina vile
Unaongea utafikiri unakata gogo ukiwa chini ya ulinziHakuna mtu kujifunza kitu. Kila mmoja aishi anavyoona yeye. Kazi zitaendelea, ccm itaendelea kushinda na lissu ataendelea kubwabwaja...maisha yatasonga, watakaokufa watakufa
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
CHEMA CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA NA KUTEMBEZWAEti wanahesabu kura.. hawa wajinga hakuna spare
Wewe kabla hajafika utakuwa imefariki huwezi kupanga mipango ya hovyo hivyo huku mungu akakuacha kuendekeza uonevu wa kishamba shamba hivyo