Mbowe, mkanye Lissu

Walioshindwa kumtoa roho walilipwa pesa wakafanye kazi (Wakashindwa)

Je wewe mbuzi bure tu utaweza kweli..?

Kafukie mzoga wenu kwanza

basi wala asijali aje tu nchini utaelewa kichapo atakachopata
 
Huyo Lissu, watanzania inabidi wamwelewe kuwa ni kichaa. Huyo alidhubutu kumtukana mpaka baba wa Taifa mwl Nyerere. Mm nafikili wampotezee na waendelee na maisha kama kawaida. Never argue with a fool. People might not notes the difference.
 
Sasa anaomba ruhusa yanini?

Aseme tu kama ina ukweli...

Ama nae ni dhaifu na mwoga?
Acha amtuhumu sasa mana alivyokua na uwezo wa kukanusha hakuutumia badala yake alitumia mtutu wa bunduki kumnyamazisha
 
Kuna uwezekano alichapwa kwa usaliti
 
Kwani Mbowe mwenyewe yupo hapa wapi kweli? Ila sijasikia viongozi wa ccm wakiulizia alipo Kigonzi wa chama kikuu cha upinzani nchini. Hawa ccm hawako concerned kama ilivyokuwa kwa wenzao Chadema walimuulizia Raisi alipotoweka
 
Hivi unajua Risasi moja ilimkata Lissu dushe? Hivi unajua ni uchungu kiasi gani kuishi kama Mugabe??
 
Umesahau aliitwa mtetezi wa mashoga wakati siyo kweli?
Umesahau mlisema ameshambuliwa na serves wake na mpaka leo hata kuku hajakamatwa?
Umesahau marehemu aliagiza kwamba akina akazikwe nataka kijijini kwao?
Umesahau JPM alikataa asipewe pesa ya matibabu wakati ni haki yake?
Umesahau aliagiza apokonywe ubunge ati Hawajui alipo?
KAMFUFUE SASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…