Mbowe, mkanye Lissu

Mie nashauri lissu ateme nyongo yake yote ili azidi kujipoteza
 
Ni msiba wa nani kafa hawakumlilia?
 
Huyo jamaa kaitia akili yake upofu tu.ukiangalia utagundua kinachotetea ushoga ni katiba siyo Lisu. Lisu alisema katiba inalinda faragha za watu.
Wengi hawajui hata hiyo katiba wapowapo tu kama mishipa? Tuseme na watu kufunga milango chooni nako ni kulinda haki za nani
 
Itafika mwaka 2050 na tutakua tunasema aliwahi kuwapo mwanasiasa machachari tanzania kwa jina la tundu lissu...hakuwahi kua sehemu ya serikali..
 
Mbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafa

Ukoo wa panya nyie
 
Mataga wanaamin lisu ndio kamuua mzee baba,wanaacha kupambana na israil mtoa roho wanapambana na lissu
 
Mbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafa

Ukoo wa panya nyie

You have to keep an open mind! Ushahidi kwamba ameua mtu yeyote uko wapi? Kumtuhumu mtu bila ushahidi wowote ni chuki binafsi na uonevu.

Critics wengi wa serikali huuawa bila maagizo yoyote ya viongozi wakuu. Kuna mashabiki ambao hawaoni shida kumuondoa mtu ambaye wanadhani ni headache kwa kiongozi wanayempenda wao. Mashabiki wa aina ya wafuasi wa Trump, kwa mfano, hawahitaji maagizo yoyote kutoka kwa Trump kumfyekelea mbali mtu ambaye wanamuona ni tishio kwa kiongozi wao. Hawa ni wahalifu wanaoamini kimakosa kwamba matendo yao yana maslahi kwa taifa!

Hata mimi nikijianika mahali nikawa mkosoaji mkali sana wa Lissu au Mbowe, kila uchao, ninaweza kutekwa na kuuawa na wafuasi wao hata bila wao wenyewe kutoa maagizo yoyote. Hii ndiyo kasoro kubwa inayoambatana na ushabiki.
 
Mbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafa

Ukoo wa panya nyie
Kwendeni zenu wewe kwa akili yako mtu ambae amepitia trainings alenge shabaha risasi 16 akosee! ukiambiwa lete ushahidi utaleta? unafikiri vita ya kiuchumi ni lelemama mtu yoyote anaweza kutumika kumshambulisha mtu fulani ilimradi tu wananchi wagombane na serikali yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…