Acheni Upumbavu wa kuuwa watu.Lissu kaambiwa asikanyage nchini?
What u been smocking?[emoji3][emoji3]
Kuna baadhi ya wajinga mnaharibu maana ya upinzani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni Upumbavu wa kuuwa watu.Lissu kaambiwa asikanyage nchini?
What u been smocking?[emoji3][emoji3]
Kuna baadhi ya wajinga mnaharibu maana ya upinzani..
Mie nashauri lissu ateme nyongo yake yote ili azidi kujipotezaPopote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
tatizo anachafua chama chao, hivyo so afya kwa demokrasia nchiniMie nashauri lissu ateme nyongo yake yote ili azidi kujipoteza
Tamaduni zetu zinaruhusu kusema uwongo msikitini?Umeongea point ila mashabiki na uharakati maandazi hawatakuelewa.
Ni msiba wa nani kafa hawakumlilia?Watu kama Lissu wanaishi Tanzania ambayo ipo zaidi mitandaoni haswa JF na Twitter, Tanzania flani ya kufikirika. Kuna ukweli wanauona ila wamegoma kuukubali.
Watanzania ni wapole wapo kimya ila wanajua ukweli na uongo, ukiwapa nafasi watoe maamuzi yao utawaona.
Mara nyingi watanzania wanazungumza kwenye maboksi ya kura na matukio kama haya tulioona wakimlilia Magufuli.
Kwanini asijipoteze aliyedanganya msikitini?Mie nashauri lissu ateme nyongo yake yote ili azidi kujipoteza
Wengi hawajui hata hiyo katiba wapowapo tu kama mishipa? Tuseme na watu kufunga milango chooni nako ni kulinda haki za naniHuyo jamaa kaitia akili yake upofu tu.ukiangalia utagundua kinachotetea ushoga ni katiba siyo Lisu. Lisu alisema katiba inalinda faragha za watu.
Mende ww, hapa duniani si mbinguni - Sheria hata nyumbani kwako hazipo afu uzilete Serikalinikenge ww, nchi inaongozwa kisheria sio kihuni, enzi za kuwashugulikia watu kinyume na sheria Zishaisha
Acheni Upumbavu wa kuuwa watu.
Shetani hatoi shetani mwezake.
Yes but unaweza kutoa adhabu bila kufuata sheria?Kunyongwa ni adhabu kisheria..
Sema sheria iliyotumika kumpiga TL risasi?
Mbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafainawauma sana Rais Magufuli alikuwa anakubalika kila mahali. sasa ameishakufa mnamsema vibaya wa nini hamuoni kuwa nyie ndo hamna akili kumtukana mtu ambaye tayari hayupo duniani ni sawa na kuongea na kulitukana jiwe ambalo halina uhai wala kusogea mahali lilipo
nasikia maiti imefukuliwa?Kilema katika ubora wake
Im a state and a state is meWho are you by the way ?
kuliko jiwe ?Im a state and a state is me
Mbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafa
Ukoo wa panya nyie
Nchi ina wapumbavu wengi sana hiiHuyo jamaa kaitia akili yake upofu tu.ukiangalia utagundua kinachotetea ushoga ni katiba siyo Lisu. Lisu alisema katiba inalinda faragha za watu.
Kwendeni zenu wewe kwa akili yako mtu ambae amepitia trainings alenge shabaha risasi 16 akosee! ukiambiwa lete ushahidi utaleta? unafikiri vita ya kiuchumi ni lelemama mtu yoyote anaweza kutumika kumshambulisha mtu fulani ilimradi tu wananchi wagombane na serikali yao.Mbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafa
Ukoo wa panya nyie