Mbowe, mkanye Lissu

Unauhakika.Unafikiri kwanini usilikanye somo lako kabla hajakanywa? Manenonhaya sio kabisa.....
 
Mkanye wewe si ndio unasoma post zake huko mitandaoni, Kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake, Wakati watanzania tunamchangia ili aokoe uhai wake baada ya Marehemu na Bunge lake kumkatalia hamkujua kwamba sio utamaduni?
Mleta mada ni wa kupuuziwa tu
 
Mungu sio mama yako mdogo ... Hamtaki kuamini kama JIWE kamuacha mwanasheria TL anapumua.
 
Ishu ya Lissu kupigwa risasi usijitoe ufahamu hapa wkt waliondoa walinzi na camera.

Tufunge mjadala.. Marehemu JPM alikuwa Malaika (nimekubali)
 
Mbona madaraja tunayataja na hamkatai.. iweje mauaji aliyofanya tuyafiche kisa kafa

Ukoo wa panya nyie
Kweli watu weusi tunavichwa maji ikiwepo wewe hivi ulisha sikia wapi ulaya kiongizi wa chama pinzani kapigwa risasi kwani nini ni kwetu tu africa ndo itokee kwani ulaya uwongozi mbovu hakuna na upinzani wanazungu uwongozi mbovu kila leo
 
Ishu ya Lissu kupigwa risasi usijitoe ufahamu hapa wkt waliondoa walinzi na camera.

Tufunge mjadala.. Marehemu JPM alikuwa Malaika (nimekubali)

Inashangaza jinsi ambavyo wakati mwingine huwa tunalishwa vitu fulani na sisi kuvimeza bila kuhoji chochote. Nani amewahi kuanika ushahidi wa haya madai?

Hivi kumshambulia Lissu akiwa elsewhere (including njiani) ilikuwa haiwezekani kabisa mpaka tu pale mahali alipokuwa anaishi? Obviously, kama walinzi na camera vilikuwa vikwazo, wangeweza kumlia timing mahali pengine muafaka.

Hakuna anayesema JPM alikuwa malaika. Hata hivyo, kutokuwa kwake malaika haitupi sisi uhalali wa kumtuhumu kwa kila uovu tunaoufikiria hata kama hatuna ushahidi wa kuhusika kwake!
 
Kumbuka Lisu kalalamika kabla ya tukio kuwa kuna watu wanamfatilia na kutoa taarifa kwa wahusika,
Lakini pia baada shambulio serikali ilkataa Lisu asiombewe wala wahusika kusomewa albadil
Muda si muda kanyimwa stahiki zake na kunyang’anywa ubunge.
Yaani kwa ujumla film ya Lisu huitaji kumtafuta aliyekuwa anaratibu hiyo mipango.
All in all Mungu fundi.
 
Na wewe mkanye mumeo aache kudoea pombe,kuna siku tutamgeuzia kibao atulipe kimtindo
 
Kweli watu weusi tunavichwa maji ikiwepo wewe hivi ulisha sikia wapi ulaya kiongizi wa chama pinzani kapigwa risasi kwani nini ni kwetu tu africa ndo itokee kwani ulaya uwongozi mbovu hakuna na upinzani wanazungu uwongozi mbovu kila leo
Ujinga wako baki nao mwenyewe wala usinitupie mimi..

majinga sana nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…