Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Wew uko CCM ipi Mkuu? Ya Kayafa au ile "CCM yenye Wenyewe"?
 
Hamtaki mabaya yenu yawekwe wazi? Sasa iwe mvua iwe jua tutayaweka tu ili mioyo yetu iwe huru. LISSU kamatia hapohapo hawa mataga ni wapuuzi sana
Doto kaiba pesa zote madini yote waliyokamata Airport mipakani majumbani zipo siri nyingi Tundu lisu atazianika baada ya kazi ya kuzika kumalizika huko Chato
 
Inasikitisha sana kwakweli, sasa hapa ni public anayasema haya, sipati picha huko sirini wanayanena na kujiapiza mambo mabaya kiasi gani.
Kikubwa ni Doto kuiba Hazina ya Nchi nina imani na mama yetu mh Rais samia mara baada ya kuzika lazima atamchukulia hatua kali Doto ambaye alijisahau kwa majivuno makubwa
 
Kikubwa ni Doto kuiba Hazina ya Nchi nina imani na mama yetu mh Rais samia mara baada ya kuzika lazima atamchukulia hatua kali Doto ambaye alijisahau kwa majivuno makubwa
Ila kuna watu wamekula maisha zama za Kayafa! Ama kwa hakika "What's make Tom happy is not so to Jerry"
 
Magu vs Lissu - vita ishaisha mshindi kashatangwa na mwenyezi Mungu

Nyie UVCCM fanyeni mengine huu ni wakati mpya!! Hakuna atakayewaruhusu kufanya huo ujinga mnaopanga.
 
Hivi kwanini hoja za huyu Lissu zisijibiwe?
UVCCM ya maana na ya mwisho ilikuwa ya kina Nchimbi hawa wengine ni vijana wavivu wa kufikiri na weupe wa kujibu hoja - kwao njia rahisi ni vurugu ( violence)
 
Wewe pisikali huna lolote,yani mataga mko kama mmekalia kitu kigumu,karibu kesho nachinja mbuzi kusherekea plus mbege
 
Kikubwa ni Doto kuiba Hazina ya Nchi nina imani na mama yetu mh Rais samia mara baada ya kuzika lazima atamchukulia hatua kali Doto ambaye alijisahau kwa majivuno makubwa
Ushahidi wa wizi wake uko wapi - unatembelea maneno ya uzushi wa kigogo
 
Lissu akikanyaga Tanzania wazalendo watampiga risasi tena.
Kumbe alipigwa risasi na wazalendo!!!! siyo watu wasiojulikana?? kidogo kidogo tutawajua tu, mtataja mpaka majina na vyeo vyao, damu ya mtu haiwezi kumwagika hihi hivi tu halafu eti mkabaki salama, never!!
 
Usaliti upi kwa Lisu? Hakuna usaliti Hatari kama kupora mali za watu kufunga biashara za watu kufunga Account zao, kupora ushindi kwenye chaguzi zote, huo ndiyo usaliti kwani CCM hawakuwa wamezoea uonevu wa kiwango hicho
Alitusaliti kwenye madini mchana kweupe wananchi wote mashaidi.
 
Mim namruhusu aanze kiyaorodhesha mazuri yake kwanza...
 
Binadamu yeyote akinusurika kufa kwa shambulio hawezi kumpenda yule aliyetaka kumteketeza kamwe
Wewe UMENENA jambo wasiloweza kulijua WAJINGA. Ni nadra sana kumpenda adui yako, sembuse
kumpenda shetani anayetaka kuchukua uhai wako!

Kwani Lisu alifanya/amefanya nini cha ajabu sana? Kama aliongea/ameongea au aliandika/ameandika jambo la uongo si anajibiwa kuwa hapa na hapa ni uongo? Hoja si inajibiwa kwa hoja?
 
Na huu ndio urithi bwana yule katuachia.
Chuki za kupandikizwa mioyoni. Upinzani kuwa uadui. Mihemko isiyo na tija!
Kwa hili sijawahimsapoti mwendazake!

Upinzani baina ya vyama ilipaswa kuwa kama Simba na Yanga tu.

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom