Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.
Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.
Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu