Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

Mbowe Mlutheri walutheri huwa hawaombi hiyo sala mpagani mkubwa hajui hata sala za kilutheri mtu akifa huwa walutheri wanasali vipi

Walutheri sala yao mtu akifa ni Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe akifa hakuna cha Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi

Hata waislamu mtu akifa wanasali kuwa Mungu muweke mahali panapomstahili sababu Allah pekee ndie ajuaye huyo mfu amuweke wapi

Mtu akifa kwenye hayo maandamano hakuna sala ya Ohhh Mungu weka roho yake pema peponi haipo ni kushukuru Mungu tu kuwa Mungu alitoa na kumleta duniani na kamtwaa jina lake Mungu lihimidiwe kwa kumtwaa mja wake kiislamu hupiga dua kuwa Mwenyezi Mungu amuweke mahali panapimstahili huyo muandamanaji marehemu kama ni peponi wanakoishi mapepo, mbinguni au Jehanamu atajua Mungu mwenyewe

Kesho waandamanaji likitokea la kutokea jiandaeni kwa hizo sala
 
Kuna comment ukisoma humu unagundua kiasi cha akili ya Mwafrica na ujinga uliopitiliza.

Ukiona baadhi ya wenzenu katika nchi wako tayari kupigwa risasi na kufa au hata kwenda jela, ujue Kuna shida inayohitaji nguvu ya pamoja kuweka mambo sawa.

Leo tunaona akina Mbowe wajinga na kujaribu kuwa mashabiki tukiamini tuko salama lakini ni suala la muda Kwa haya mambo kugeuka na wote kuwa mashakani.
Kuna haja ya akili kutumika katika haya mambo kuliko nguvu na wote kukaa kwenye ukurasa mmoja.
 
Back
Top Bottom