Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

Yaan
Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.

View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.

Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.

Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu

Itakuwa vema ili CDM ipate mwenyekiti mpya.Huyu hatauliwa ila atapata kipigo kitakatifu kama alichopata Prof Lipumba wakati wa JK.
 
Back
Top Bottom