Samvurah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 532
- 515
YYou
Aiseee!!Mungu hawezi kama mwanadamu .Atakushangaza kabla ya mwaka huu kuishaRIP in advance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee!!Mungu hawezi kama mwanadamu .Atakushangaza kabla ya mwaka huu kuishaRIP in advance
Poor you!Ujanielewa,.
Inawezekana hata D mbili huna!
Utakufa ww.RIP in advance
Kama wako siriazi na kesho kuhusu kuandamana usiku wa leo wasilale nyumbani mwaoKauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.
View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.
Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.
Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu
😀😀😀 haya ni maneno ya wafuasi wa UPINDE!Poor you!
Maneno ya watu wa UPINDE!Poor you!
Pro US, siyo??Maneno ya watu wa UPINDE!
Hakuna namna nyingine ya kujitoa mbele kutetea nchi zaidi ya hapo.Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.
View attachment 3103371
Mbowe amesema kuwa mkisikia amepigwa risasi iombeeni roho yake ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele.
Tanzania Salama bila utekaji na mauaji ya raia inawezekana.
Polisi waache kutishia raia.
Polisi watoe ulinzi kwa waandamanaji
Polisi wasianzishe vurugu
Wewe ulisha muuliza Ulimboka?Watesi hawapigi risasi wala hawakuuwi.
Muulize Ulimboka.
Vyovyote na iwavyo, chukua tafsiri unayo itaka wewe. Tamko hilo ni la kishujaa.Kupigwa risasi fika anafahamu hakupo, ispokuwa kwa wakati huu ni lazima aonyeshe ujasiri ili kutetea UENYEKITI WAKE, KWAMBA NI MWENYEKITI IMARA NA THABITI.
Hata yule aliyekuwa anatoa order za watu kufyatuliwa risasi yeye aliondoka kwa kirusi kidogo tu 2021 !RIP in advance
Hata makaburu walikuwa na kauli kama hizi kwa waliokuwa wanapinga ubaguzi wa rangi.Anatafuta kiki za kijinga tu.
Mwenyekiti wa chama miaka yote, chama hakina hata sera.
"If you're afraid to die, you're afraid to live. You can't have one without the other" author unknown.Kauli hii ameitoa leo kupitia X Spaces alipokjwa akiwahutubia wananchi wenye mapenzi mema kwa anchi na waliojipanga kushiriki kwa amani maandamano ya tarehe 23 Septemba 2024.