Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watz hatuna mda na mambo ya kipuuz ya kuvuruga amani ya nchi yetu, nina uhakika maandamano hayo yatafanywa online na nyumbu wachache wa chadema.
 
Maandamano yanaazia-ga mitandaoni kwa miaka ya hivi karibuni mitandaoni ndio sehemu rahisi ya ku organised.
Refer Misri, libya etc tech imekuwa nyenzo kubwa kuliko unavyofikiri
Hii ni bongo baba tunajuana,, hizo nchi nyingine hawapo kama huku,, ,huku wengi ji ma keyboard warriors tu,,,,labda hayo maandamano waruhusu wenyewe serikali ila sio ya kufosi
 
Ma keyboard warriors wanaeleweka.........isije kua kama ya enzi za JPM siku ya tukio mji mweupeee

..hata Polisi nao wanaogopa.

..wanajua watu wakijaa mtaani hakuna namna ya kufanya itabidi Polisi wawe wapole.

..nadhani unakumbuka mapokezi ya Lissu. Polisi walichimba mkwara, lakini wananchi walijitokeza kwa idadi kubwa ikabidi Polisi watoe ushirikiano.

..jambo la msingi ni Polisi kuchukua hatua kwa genge linaloteka na kuua vijana wa upinzani.

..Chadema na wanaharakati wana kila sababu kukasirishwa na yanayowafika, na kuitisha maandamano.
 
huyuhuyu aliyewatukana chadema baada ya kushindwa kuandamana mara ya kwanza leo tena kaunga mkono? mkishindwa tyu kuandamana anawatukana tena
 
Dah

Chakademus mko pamoja na mange?
 
hivi kumbe anaitwa kimambi, muda wote huu nikajua anaitwa KIMAVI yaan MANGE KIMAVI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…