chairman akipiaga glass ya ile kitu anakua kama mtoto dahMbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
UongoNyuma ya pazia wanazipasua kodi za wanyonge kwa mivinyo ya gharama na hao hao masti goo
Haya mambo ni kuomba tu yasitokee. Ushahidi upo mwingi wengi wa namna unayowasema walifurushwa ikulu.Unawezaje kumtoa Mtu anayelindwa na Jeshi 24/7 ?
Wasijaribu kutumia tukio la bwana yule kuwa mtaji wa kisiasa kulazimisha attention na siasa zao za vurugu ,watashughulikiwa na watasambaratika.Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
Wewe ni mjinga sana! Hakuna mtu mwenye akili anaweza kumuunga Samia mkono dhidi ya kuuwawa kwa watu!Nadhani hiyo ni wrong approach ambayo itasababisha ccm wote waungane kumtetea m/kiti wao. Nice approach ni kumgombanisha sa100 na wanaccm wenzake.
jee walihusika na kifo cha Kibao ili waanzishe hii kampeni ?Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
Ikulu 😄must go to where???
Sijakuelewa na haukaelewa mada soma tena.CHADEMA MSIJARIBU KUVURUGA AMANI YA NCHI
Siku akitekwa na kumwagiwa acid mwenye nasaba na wewe, utabadilisha tenzi za mashairi yako.Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Wee mbwa mpumbavu wa chura kiziwi unayebwekea nyumbu wake pia.Mbowe Kwa kuwajaza nyumbu wake, hua ni mtaalamu sana