Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ni muhimu mno kunywa kinywaji na kwenda kulala moja kwa moja sio kwenda kwa press,

ni jambo la maana sana kuobserve drinking manners ndrugu zango
 
Kifo cha Kibao nakihusisha na uchaguzi wa mwaka huu na ule wa mwakani.

Mbowe ni kiongozi pekee wa CHADEMA mwenye kufadhili jeshi la chama maarufu Red Brigade, anapenda sana kuona jamii ikifanya mapinduzi kwa njia haramu na makala zake za miaka mingi za gazeti la Tanzania Daima zilionyesha hulka yake hiyo.

Kibaya kwake ni kwamba CCM ina mtandao mzuri sana mpaka vijijini na inashughulika na shida za moja kwa moja za watu hivyo hata hizo sera zake za kutaka vijana washiriki mapinduzi zinakuwa zikikosa mashiko.
 
Hawa jamaa wanajionaga nini sijuwi kwani chacha Wangwe ilikuwaje? ripoti Yak ilikuwaje namkumbuka sana mchungaji Mtikila kuna vitu alitaka kusema kuhusu hawa kabla ajafik idara ya habari ajali ilimkuta
 
People Power ya konyo, usicheze na moto, fanyeni kujaribu kama mnajikuna masaburi ndio mtajua kilichomtoa kanga manyoya. Kama mnataka kuwatumia waliofundishwa na Ally Mohamed Kibao, basi watakutana na wajuzi wenzao
Okay, kwahiyo marehemu Kibao alikuwa anafanya shughuli ya kuwafundisha red brigade ili siku moja CHADEMA wachukue nchi kwa mapinduzi?.
 
Ka

Kama watakuwa serious na mimi nitashiriki ila najua Mbowe atapewa asali arudishe silaha kwenye ala.
 
Washatolewa kwenye reli tayari. Wakiandamna wanatiwa ndani hadi chaguzi zote 24/25 ipite. CCM wanayataka madaraka bana.
 
Hivi kwa lugha rahisi tu, unaweza sema Rais wa nchi Must Go..!? Huu sio uhaini? Yaani easily unasema Rais wa nchi Must Go..? Just easily on the podium, No way..!!

Huu ni ukiukwaji wa Katiba kabisa..!!
 
Haya mambo ni kuomba tu yasitokee. Ushahidi upo mwingi wengi wa namna unayowasema walifurushwa ikulu.
Unajua baada ya yale mapinduzi ya mwisho kutokea ya Nyerere, Jeshi na Vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama vimebadirishiwa Muundo.

Hivyo sio jambo rahisi wao kumpindua Rais wa Nchi.
 
Hivi kwa lugha rahisi tu, unaweza sema Rais wa nchi Must Go..!? Huu sio uhaini? Yaani easily unasema Rais wa nchi Must Go..? Just easily on the podium, No way..!!

Huu ni ukiukwaji wa Katiba kabisa..!!
Ndio malengo ya Mbowe yalivyo, anapenda sana kuona vijana wakifanya vurugu lakini kakuta hii ni nchi ambayo ilikabidhiwa kwa Mungu siku moja kabla ya uhuru hivyo anapoteza muda wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…