Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
People Power ya konyo, usicheze na moto, fanyeni kujaribu kama mnajikuna masaburi ndio mtajua kilichomtoa kanga manyoya. Kama mnataka kuwatumia waliofundishwa na Ally Mohamed Kibao, basi watakutana na wajuzi wenzao
Huo moto utachezewa sana tu kama tunavyochezea chandimu na safari hii unazimwa kwa maji na mchanga tu...!!!

Bi. SAMIA SULUHU HASSAN MUST GOO TO KIZIMKAZI...
 
Samia must go to another presidential five years 2025-2030
 
M
Mbowe buyu la asali limepungua anataka haongezewe,ndio maana zimeanza kelele,hakiitwa ikuru tu utasikia tumekubariana na Serikali -----blablaa nyingi,nawafuasi wake wanaunga mkono hoja.Tanganyika mpaka kupata upinzani ulioimara mpaka kizazi cha akina Mbowe cop na Zitto kiondoke,kije kizazi kipya akina Mbowe ni wafanyabiasha tu wako kimaslahi zaidi.
 
Jenzii wa Kenya kwenye maandamano walimwaga damu za kutosha, sio hiyo mnayosema nyie, kiufupi mbowe anatamani machafuko
Halafu Joho akaukwaa uwaziri na Odinga akapigiwa kampeni ya AU huku genzii wakiishia mochwari😎😎
 
namna hii tunaweza kuanza kuamini jambo la nani hasa yupo nyuma....
Haiwezekani mnaoumizwa ni ninyi,mnaolalamika ni ninyi,mnatangaza ni ninyi,mnaoenda kufanya Postmortem ni ninyi,Mnaohukumu ni ninyi n.k
Naamini wahusika watatiwa mikononi bila shaka.
 
Hapa sasa Mbowe amekuwa mwenyekiti original. Lazima ifike mahali viongozi wawe serious na maisha ya watu. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo watu wanatekwa mchana kweupe na kuuwawa, halafu watu tulio wapa dhamana wanaendelea kula kodi zetu bila uwajibikaji.
 
Nyumbu ni mnyama Jamii ya mamalia yani hali kitu chenye damu.. Kwamba hategei damu ya kiumbe hai imwagike ndio yeye aishi.. Yeye ni vegan.. Damu kwake mwiko!

LAKINI kuna mahali pakifika nyumbu huwa hahofii tena makucha wala meno makali ya carnivora yeyote yule awaye yote. hupambana na kupambania uhai wake!

Kampeni ya SAMY MUST GO! Ni dalili za kuchoka kwa Nyumbu kwenye kuonewa, kunyanyaswa, kutekwa kupotezwa na hata kuuliwa

Samy lazima
aende (aondoke mazima) ni dalili za wazi kwamba nyumbu kachoka na sasa anata kujilipua


Mdharau mwiba guu huota tende kama si tetanus na hatima yake ni kifo ( cha kujitakia)

Goof night Tanganyika (SMG)

Your browser is not able to display this video.
 
Wenye "Ruto Must Go" hawakufanikiwa ndiyo waje kufanikiwa watanzania? Watanzania wakiamzisha hiyo ya "Samia Must Go" dunia nzima itajua wanafanya maigizo ili wapate viewers mitandaoni...
Ila hii kete ya mbowe naona kama ime chezwa na mzee wa msoga.

Rejea Samia tunaye labda Mambo yaharibike zaidi.
Au Pascal Mayalla waonaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…