Pre GE2025 Mbowe: Mtu wa kwanza kuwajibishwa kwenye matukio ya utekaji ni Rais Samia. CHADEMA kuanza kampeni ya 'Samia Must Go'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatzo Gen Z wa bongo huku uoga na uchawa tu wacha tuone πŸ˜‚πŸ˜‚
Gen Z wa TZ
1. Kubet
2. Ubishi wa Simba na Yanga
3. Uchawa


Mzee Butiku kawaambia waziwazi kwamba hiki Taifa ni lao, wakilala na kuogopa wataongozwa hadi na wahuni.
 
Mwisho tunasema source of problems ni yeye, vile anaongea, vijana wanapanic, mwisho wanatekwa na wengine wanakufa.


Don't judge me, mie siyo mwanasiasa, sina chama, hata kura sipigi.
 
H
 
Nipo pale namung’unya bigi jii. Hahahaha inafurahisha sana. Nadhani kale ka mshangilio kao ka kifo cha Magufuli watakuwa wanajisuta na kujistukia.
 
He must go back to prison.
 
Duh! Hata kwa TZ ikitokea jeshi limemtoa rais madarakani sitashangaa. Mfano, unajua kwa sasa kuna watoto wengi mno wa wanajeshi (vyeo vya chini, kati, hata vyeo vya juu) hawana ajira kabisa/majobless. Pia watoto wa ndugu, jamaa na marafiki wa wanajeshi ni majobless, hilo tatizo la ukosefu wa ajira lipo kwenye jamii mpaka kwenye majeshi. Je hiyo haiwezi kuwa sababu ya kumtoa madarakani. Halafu hii issue ya kukosa ajira general mstaafu mabeyo alishawahi kuzungumzia.




View: https://youtu.be/tf_4gqtinSE?si=HkvdX-5i_dmSh2-m
 
Mkuu unazungumzia Nchi gani, hii hii Tanzania?

Kama ni Tanzania, hilo suala halitaweza kutokea hata baada ya miaka 100 ijayo

Ungejua Kuna watu walikuwa na ndoto kama yako, alipofariki JPM lakini kilitokea nini? Walishindwa kabla hata ya kuanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…