Gen Z wa TZTatzo Gen Z wa bongo huku uoga na uchawa tu wacha tuone 😂😂
1. Kubet
2. Ubishi wa Simba na Yanga
3. Uchawa
Mzee Butiku kawaambia waziwazi kwamba hiki Taifa ni lao, wakilala na kuogopa wataongozwa hadi na wahuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gen Z wa TZTatzo Gen Z wa bongo huku uoga na uchawa tu wacha tuone 😂😂
Ataondoka Mbowe na Chadema kabla ya SSH.
Mnaalikwa kujiunga kufanya usafi Kwa tarehe tajwa hapo chini 👇👇
View: https://x.com/MzalendoDaily/status/1833893018245451992?t=XyYVwRmVBJCV3OMYzwbTPA&s=19
Hata Sasa ziko effectiveHizi mbinu zilitumika karne ya 13 na 14 kule Marekani na Ulaya.
Yes, ila kwa mataifa ya watu wasiojitambua.Hata Sasa ziko effective
Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
=====
"Kisiasa, n ani vyema mkasikia bunge la Tanzania, mwaka jana (2023) katika mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa ilipeleka usimamizi ya idara ya usalama wa taifa moja kwa moja Ikulu kusimamiwa na Rais, na sheria ile ilitoa kwa mara ya kwanza haki ya watu wa usalama wa taifa kukamata watu, kuwaweka kizuizini, bila kueleza mahali popote wala bila kushtakiwa.
"Sheria hii ilivyopitishwa Rais aliipitisha na akajimilikisha mamlaka ya usalama wa taifa. Sasa mimi kwa niaba ya CHADEMA na vikao na vikao vyangu, tuna declare mtu wa kwanza kuwajibishwa katika masuala hay ani Rais Samia Suluhu Hassan.
"Na sisi tunasema tunaanza moja kwa moja kampeni inayoitwa ‘Samia Must Go’, hiyo ndiyo rai yetu. Sasa basi, kwasababu bado tuna msiba, tumekubaliana kwamba tuna msiba kwasababu kuna viongozi wetu hatujui wako wapi. Kwahiyo sisi kama chama hatujamaliza msiba. Tutaendelea na msiba wetu kitaifa na bender azote za chama zitapeperushwa nusu mlingoti hadi tujue watu wetu wako wapi, wako hai au mauti
"Lingine, kuanzia siku ya Jumatatu, tar 23/9/2024 mkumbuke nilitangaza tar 21 tunategemea tuone hatua za watu kuwajibika zimeanza. Kama hawatachukuliana hatua wenyewe kwa wenyewe, sisi kuanzia tarehe 23 jiji lote la Dar es Salaam, kila kata kila mtaa.. ndugu zangu tumekuwa tunafanya utani mara nyingi, lakini kwa wakati huu hatuna utani.
"Kuanzia jumatatu sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotenzwa unless serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu na watu wote kuwajibika kwa mujibu wa tamko letu la leo." - Amesema Mbowe katika mkutano kwenye ofisi za CHADEMA, Mikocheni leo 11/9/2024
View attachment 3093414hii kampeni ya kuungwa mkono nchi nzima,,hii km iwe na jibu 1 kati ya aya 2, ama Samia aondoke ama polisi watuue
Nipo pale namung’unya bigi jii. Hahahaha inafurahisha sana. Nadhani kale ka mshangilio kao ka kifo cha Magufuli watakuwa wanajisuta na kujistukia.Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
=====
"Kisiasa, n ani vyema mkasikia bunge la Tanzania, mwaka jana (2023) katika mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa ilipeleka usimamizi ya idara ya usalama wa taifa moja kwa moja Ikulu kusimamiwa na Rais, na sheria ile ilitoa kwa mara ya kwanza haki ya watu wa usalama wa taifa kukamata watu, kuwaweka kizuizini, bila kueleza mahali popote wala bila kushtakiwa.
"Sheria hii ilivyopitishwa Rais aliipitisha na akajimilikisha mamlaka ya usalama wa taifa. Sasa mimi kwa niaba ya CHADEMA na vikao na vikao vyangu, tuna declare mtu wa kwanza kuwajibishwa katika masuala hay ani Rais Samia Suluhu Hassan.
"Na sisi tunasema tunaanza moja kwa moja kampeni inayoitwa ‘Samia Must Go’, hiyo ndiyo rai yetu. Sasa basi, kwasababu bado tuna msiba, tumekubaliana kwamba tuna msiba kwasababu kuna viongozi wetu hatujui wako wapi. Kwahiyo sisi kama chama hatujamaliza msiba. Tutaendelea na msiba wetu kitaifa na bender azote za chama zitapeperushwa nusu mlingoti hadi tujue watu wetu wako wapi, wako hai au mauti
"Lingine, kuanzia siku ya Jumatatu, tar 23/9/2024 mkumbuke nilitangaza tar 21 tunategemea tuone hatua za watu kuwajibika zimeanza. Kama hawatachukuliana hatua wenyewe kwa wenyewe, sisi kuanzia tarehe 23 jiji lote la Dar es Salaam, kila kata kila mtaa.. ndugu zangu tumekuwa tunafanya utani mara nyingi, lakini kwa wakati huu hatuna utani.
"Kuanzia jumatatu sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotenzwa unless serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu na watu wote kuwajibika kwa mujibu wa tamko letu la leo." - Amesema Mbowe katika mkutano kwenye ofisi za CHADEMA, Mikocheni leo 11/9/2024
He must go back to prison.Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.

Kwa hiyo msoga ndio wanawatuma kuteka na kuua wananchi?kwani JPM si ali lindwa Hadi kitandani, ila hii kete ya mbowe naona ime chezwa na msoga.
Rejea Samia tunaye labda mambo yaharibike zaidi.
Wananchi wa libya walikua na silaha nzito,mwananchi wa kawaida anatoa wapi silaha nzito?We zero kweli wananchi wakiamuwa ni mtiti wa oneday tu
Duh! Hata kwa TZ ikitokea jeshi limemtoa rais madarakani sitashangaa. Mfano, unajua kwa sasa kuna watoto wengi mno wa wanajeshi (vyeo vya chini, kati, hata vyeo vya juu) hawana ajira kabisa/majobless. Pia watoto wa ndugu, jamaa na marafiki wa wanajeshi ni majobless, hilo tatizo la ukosefu wa ajira lipo kwenye jamii mpaka kwenye majeshi. Je hiyo haiwezi kuwa sababu ya kumtoa madarakani. Halafu hii issue ya kukosa ajira general mstaafu mabeyo alishawahi kuzungumzia.Unajidhalilisha sana kwa ujinga kama huu.
Hao viongozi ambao huondolewa madarakani huwa hawana jeshi?
Juzi juzi, yule mama wa Bangladesh alifurumishwa, hakuwa na jeshi?
Akina Omar Bongo huko Gabon, hawakuwa na jeshi?
Nchi inapo kuwa na wajinga wa namna hii ndipo huwa furaha kuu ya viongozi wabovu.
Sikiliza, wewe si lazima ushiriki. Kaa pembeni, subiri wenye uchungu na nchi hii wakufanyie kazi. Kwenye nchi yoyote ile, watu wa aina yako hawakosekani.
Hayo ya kwakoKwa hiyo msoga ndio wanawatuma kuteka na kuua wananchi?
Akipigiwa vonoco na bunge ulinzi wa jeshi utasaidia nini?Unawezaje kumtoa Mtu anayelindwa na Jeshi 24/7 ?
Bunge lipi Mkuu? Hili hili la akina Kibajaji na Hamis Taletale?Akipigiwa vonoco na bunge ulinzi wa jeshi utasaidia nini?
Mkuu unazungumzia Nchi gani, hii hii Tanzania?Unajidhalilisha sana kwa ujinga kama huu.
Hao viongozi ambao huondolewa madarakani huwa hawana jeshi?
Juzi juzi, yule mama wa Bangladesh alifurumishwa, hakuwa na jeshi?
Akina Omar Bongo huko Gabon, hawakuwa na jeshi?
Nchi inapo kuwa na wajinga wa namna hii ndipo huwa furaha kuu ya viongozi wabovu.
Sikiliza, wewe si lazima ushiriki. Kaa pembeni, subiri wenye uchungu na nchi hii wakufanyie kazi. Kwenye nchi yoyote ile, watu wa aina yako hawakosekani.
Ndiyo wakutaka hilo jambo bado hawajazaliwa🤣
Hawajataka, wakitaka wanamtoa tu.
Kizimkazimust go to where???
Labda itumike njia ile ile ya JPM, lakini sio Kwa Jeshi kuasikwani JPM si ali lindwa Hadi kitandani, ila hii kete ya mbowe naona ime chezwa na msoga.
Rejea Samia tunaye labda mambo yaharibike zaidi.
labda, ila kumbuka yeye ndo ali liheshimisha jeshi !!.Labda itumike njia ile ile ya JPM, lakini sio Kwa Jeshi kuasi