Kenge wewe!Kuna upuuzi unataka kuletwa na hawa wanywa mbege wakichanganya na konyagi
USSR
zi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge wewe!Kuna upuuzi unataka kuletwa na hawa wanywa mbege wakichanganya na konyagi
USSR
zi
Kuteka na kuua watu ni kufuata katiba?Hivi kwa lugha rahisi tu, unaweza sema Rais wa nchi Must Go..!? Huu sio uhaini? Yaani easily unasema Rais wa nchi Must Go..? Just easily on the podium, No way..!!
Huu ni ukiukwaji wa Katiba kabisa..!!
We zero kweli wananchi wakiamuwa ni mtiti wa oneday tuWananchi wana vifaru na mizinga!?
Wacha tuendelee kutazamaMajaaliwa ya Rais Samia kugombea 2025, yamelalia kwenye hoja HII .
P
Safi sanaMbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia ametoa rai kwa viongozi wa CHADEMA siku 12 kuanzia sasa kuja Dar kwaajili ya kupeana mikakati muhimu kwa hatua zaidi.
Soma Pia:
- Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
=====
"Kisiasa, n ani vyema mkasikia bunge la Tanzania, mwaka jana (2023) katika mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa ilipeleka usimamizi ya idara ya usalama wa taifa moja kwa moja Ikulu kusimamiwa na Rais, na sheria ile ilitoa kwa mara ya kwanza haki ya watu wa usalama wa taifa kukamata watu, kuwaweka kizuizini, bila kueleza mahali popote wala bila kushtakiwa.
"Sheria hii ilivyopitishwa Rais aliipitisha na akajimilikisha mamlaka ya usalama wa taifa. Sasa mimi kwa niaba ya CHADEMA na vikao na vikao vyangu, tuna declare mtu wa kwanza kuwajibishwa katika masuala hay ani Rais Samia Suluhu Hassan.
"Na sisi tunasema tunaanza moja kwa moja kampeni inayoitwa ‘Samia Must Go’, hiyo ndiyo rai yetu. Sasa basi, kwasababu bado tuna msiba, tumekubaliana kwamba tuna msiba kwasababu kuna viongozi wetu hatujui wako wapi. Kwahiyo sisi kama chama hatujamaliza msiba. Tutaendelea na msiba wetu kitaifa na bender azote za chama zitapeperushwa nusu mlingoti hadi tujue watu wetu wako wapi, wako hai au mauti
"Lingine, kuanzia siku ya Jumatatu, tar 23/9/2024 mkumbuke nilitangaza tar 21 tunategemea tuone hatua za watu kuwajibika zimeanza. Kama hawatachukuliana hatua wenyewe kwa wenyewe, sisi kuanzia tarehe 23 jiji lote la Dar es Salaam, kila kata kila mtaa.. ndugu zangu tumekuwa tunafanya utani mara nyingi, lakini kwa wakati huu hatuna utani.
"Kuanzia jumatatu sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotenzwa unless serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu na watu wote kuwajibika kwa mujibu wa tamko letu la leo." - Amesema Mbowe katika mkutano kwenye ofisi za CHADEMA, Mikocheni leo 11/9/2024
Watu tumewabembeleza walete katiba mpya wanatuona wajinga . Sheria wametunga wao hawazifuwati halafu bila aibu wanasema tii sheria bila suluti . Yaani mtu anaishi kwasababu ya sheria na katiba halafu haziheshimu. Hapo utasema tuna viongozi au vibaka?Ofcoz amegoma kuondoka, kuachia ngazi...
Lakini hebu kamuulize iwapo huyo William Rutto huwa analala hata usingizi kwa kashkash anazopewa na vijana GEN-Z...
Utamhurumia sana maana kuna wakati anajibizana na watoto wadogo huku wakimrushia kila aina ya matusi na hana cha kuwafanya maana ni majasiri, hawaogopi risasi wala bunduki wala mabomu ya machozi na wako tayari kufa...
Kwa kashkash hizo tuu ilimlazimu kunyoosha mikono juu na kufanya mabadiliko makubwa ktk serikali yake ikiwemo kuvunja baraza lote la mawaziri pamoja na reforms zingine muhimu ingalau kuridhisha madai ya vijana waandamanaji....
Unataka mama yenu Samia afikishwe huko?
Ofcoz, anaweza kugoma KUONDOKA au kutii amri ya umma ya "SAMIA MUST GO" lakini cha moto atakiona...
Mwambieni aombe HEKIMA kwa Mungu wake ili apate akili na ufahamu kutumia fursa ndogo aliyonayo kufanya the needful otherwise atabeba mimba ya stress na uzee wake huo muda si mrefu...!!
Usikute mpaka sasa yeye mwenyewe hajui kuwa sio yeye!. Kuna vitu vingine wengine wanaambiwa kabla mhusika hajajua!.Wacha tuendelee kutazama
Sijui kama mkuu 'Rabbon' ataisoma hii."Kisiasa, n ani vyema mkasikia bunge la Tanzania, mwaka jana (2023) katika mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa ilipeleka usimamizi ya idara ya usalama wa taifa moja kwa moja Ikulu kusimamiwa na Rais, na sheria ile ilitoa kwa mara ya kwanza haki ya watu wa usalama wa taifa kukamata watu, kuwaweka kizuizini, bila kueleza mahali popote wala bila kushtakiwa.
Kwa nini wewe unafikiri CCM wote wanakubali upuuzi huu unaofanywa na vongozi wao?Nadhani hiyo ni wrong approach ambayo itasababisha ccm wote waungane kumtetea m/kiti wao. Nice approach ni kumgombanisha sa100 na wanaccm wenzake.
SAWA.Nami nitawaunga mkono.
Kuna chawa wa kutosha namna hii humu kumbe!Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Unajidhalilisha sana kwa ujinga kama huu.Unawezaje kumtoa Mtu anayelindwa na Jeshi 24/7 ?
Mbowe anatamani kuona damu inamwagika ila kamwe hatofanikiwa
Sasa ndugu yangu, kuna vitu vinahitaji suluhisho la busara! Huwezi kutumia bad methods ukitegemea kupata matokeo chanya. 🙏🙏🙏✍Huu ujinga ulioandika ndio wanaoutumia kuteka na kuua watu wakiamini watanzania watatulia tu. Usisubiri yakukute ndio ujie umuhimu wa kuchukua hatua kama hizi.
Wanaovuruga amani ya nchi ni hao wanaoteka na kuua watanzania wenzetu.CHADEMA MSIJARIBU KUVURUGA AMANI YA NCHI
Mbowe mjinga tu ka copy and paste ya Kenya ya Ruto must go"Samia must go" ,na sio CCM must go!!.
Mbowe mjanja sana anakula huku na kule.
Ataondoka Mbowe na Chadema kabla ya SSH.Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.