Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Uone mara ngapi huku bei ya ndondo imefika 4500 ?Wacha tuone[emoji15]
Kweli mkuu huku kwetu NDONYA ya Mchele ni bukumia7, na hio ni sawa na nusukilo hv.Uone mara ngapi huku bei ya ndondo imefika 4500 ?
Tushirikiane kumshinda ShetaniKweli mkuu huku kwetu NDONYA ya Mchele ni bukumia7, na hio ni sawa na nusukilo hv.
Huyo Mbowe ndio ataishusha?Uone mara ngapi huku bei ya ndondo imefika 4500 ?
ndioHuyo Mbowe ndio ataishusha?
Amen
Sio.ndio
Ni kweli hawezi,Huyo Mbowe ndio ataishusha?
Huyo ni tapeli tu.Ni kweli hawezi,
Ila akiwa kama mtetez WA siasa Bora husaidia kuongeza kipata, fursa mbalimbali na kulegeza baadh ya mambo ya kumnufaisha Raia wa kawaida.
Utapeli wake unaweza geuka kua msaada mkuu.Huyo ni tapeli tu.
Shauri yako.Utapeli wake unaweza geuka kua msaada mkuu.
umeuliza maswali duni sana !Ni mwanasiasa uchwara awezaye kutoa kauli ya kwaMmbs wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu , basi jiandae kwa Tozo , mfumuko wa bei , ugumu wa maisha na taabu zote za dunia na wewe unayeitetea ni mtu wa kujipendekeza...
Weee jamaa siku nyingine ficha ujinga wako bhana...Ni mwanasiasa uchwara awezaye kutoa kauli ya kwaMmbs wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu , basi jiandae kwa Tozo , mfumuko wa bei , ugumu wa maisha na taabu zote za dunia na wewe unayeitetea ni mtu wa kujipendekeza...
Ningekujibu ila umesukumwa na hisia za kisiasa hadi kunitukana.Weee jamaa siku nyingine ficha ujinga wako bhana...
(1) Ataendesha nchi kwa rasimali hizo hizo lkn kwa manufaa ya nchi tofauti na ccm wanaoiba na kuficha ughaibuni...