Mbowe: Mtu yeyote anayepuuza siasa atatawaliwa na wajinga

Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida.

Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe, Mbowe amesema kwamba, wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu, basi jiandae kwa Tozo, mfumuko wa bei, ugumu wa maisha na taabu zote za dunia.

Mbowe amewakumbusha Watanzania kwamba SIASA NI MAISHA, hakuna yeyote aliye hai anayeweza kujitenga nayo.
Kama huu mkutano ulivunja rekodi basi Lissu hakuwa chochote mbele ya Mwamba JPM kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020.
 
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida.

Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe, Mbowe amesema kwamba, wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu, basi jiandae kwa Tozo, mfumuko wa bei, ugumu wa maisha na taabu zote za dunia.

Mbowe amewakumbusha Watanzania kwamba SIASA NI MAISHA, hakuna yeyote aliye hai anayeweza kujitenga nayo.
Nakubaliana nawe. The big brains should lead the process of development. Not the other way round
 
Demokrasia nayo imekaaje? Mf. Watu 20 wanachagua kiongozi wao kidemokrasia, 5 ni wasomi wengine ni elimu ya KKK tu. Kidemokrasia watampa KKK mwenzao! Wengi wape. Ni kwa nini usifanyike udikteta na kumpa hiyo nafasi msomi? Penda siasa ila usichague mbumbumbu!
 
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida.

Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe, Mbowe amesema kwamba, wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu, basi jiandae kwa Tozo, mfumuko wa bei, ugumu wa maisha na taabu zote za dunia.

Mbowe amewakumbusha Watanzania kwamba SIASA NI MAISHA, hakuna yeyote aliye hai anayeweza kujitenga nayo.
Yeye mwenyewe mjinga.
 
Back
Top Bottom