Mbowe: Mtu yeyote anayepuuza siasa atatawaliwa na wajinga

Mbowe: Mtu yeyote anayepuuza siasa atatawaliwa na wajinga

Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida .

Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi , katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe ...

Mwenyekiti katika ubora wake. Siasa inahitaji uongozi bora, vinginevyo siasa itadharaulika
 
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida...
Asante sana Kuna siku kitaeleweka tu.

Ulianza na kudai HAKI HAKI.

Ina Sasa hivi kila Kona na hata Nyumba za ibada na watawala wenyewe na wake mamluki waliokuwa wanaabudu wote wanaumana neno HAKI HAKI HAKI za watu! Shukilia hapo hapo hadi viumane tukiomba.

Mungu azidi kukupa maarifa.
 
Ni mwanasiasa uchwara awezaye kutoa kauli ya kwaMmbs wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu, basi jiandae kwa Tozo, mfumuko wa bei, ugumu wa maisha na taabu zote za dunia na wewe unayeitetea ni mtu wa kujipendekeza...
Hapo unamjadili mbowe sasa,ungejikita kwenye hoja aliyotoa kwanza ingesaidia sana .
 
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida.

Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe, Mbowe amesema kwamba, wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu, basi jiandae kwa Tozo, mfumuko wa bei, ugumu wa maisha na taabu zote za dunia.

Mbowe amewakumbusha Watanzania kwamba SIASA NI MAISHA, hakuna yeyote aliye hai anayeweza kujitenga nayo.
Point
 
Maoni yangu kuhusu kushuka kwa sarafu, "tuwe na viwanda imara vyenye tija ili tuuze kwa wingi nje". Tucheze na input na export
 
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida.

Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya mahudhurio ya watu kwa mikutano ya hadhara iliyowahi kufanyika Mkoa wa Singida tangu mkoa huo uanzishwe, Mbowe amesema kwamba, wewe ukijifanya mjanja kwa kudhan kwamba siasa haikuhusu, basi jiandae kwa Tozo, mfumuko wa bei, ugumu wa maisha na taabu zote za dunia.

Mbowe amewakumbusha Watanzania kwamba SIASA NI MAISHA, hakuna yeyote aliye hai anayeweza kujitenga nayo.
Siasa ni Maisha ya watu.

Watumishi wa Mungu kujitenga na siasa ni kutolitendea HAKI Taifa.

Waumini makanisani na misikitini ndo hao hao Mawaziri, Wabunge na Marais nk,

Viongozi wawakemee waumini wao ambao wameshika madaraka sehemu mbalimbali.

Wawaambie WASILETE sadaka madhabahuni zilizotokana na RUSHWA na WIZI.

Martin Luther King na Desmond Tutu ni mifano mizuri.

Kada zote wqmulike wanasiasa sababu wamepewa dhamana ya wananchi wote.

Aaamen
 
Back
Top Bottom