Mbowe: Mtu yeyote anayepuuza siasa atatawaliwa na wajinga

Mtaji wake wa biashara alipata kwa baba yake tajiri na mpigania uhuru wa Tanganyika.
 
Lakini majimbo hayo yana maendeleo makubwa ukilinganisha na majimbo ambayo hayajawahi kuongozwa na upinzani tangu tupate uhuru.
 
Sasa wakati unachimba madini na kulima ukiwa na amani na utulivu Mbowe ndio yupo madarakani?
 
Yaani Mungu akubariki.
 
Kaka umenigusa na hiyo point yako ya tatu... Kwamba upo ifwenkenya unachimba dhahabu na kamsamba unalima mpunga...

Nakuja DM kaka, plz nipokee!!
 
Aina kuu za mifumo ya kisiasa ni 1.Demokrasia, 2.Tawala za kifalme, 3.Tawala za kimabavu 4.Tawala za kiimla.
Labda kwa miaka 30 wanahubiri mfumo ambao ni tofauti na ule ambao wengi wanaupenda😂😂sawa nakumpigia🦄🎻
 
Kwa kupuuzia Siasa sometimes ni kuonyesha nguvu ya kuwapiga chini hawa watu......

Unless unaweza kutumika kama mtaji / ngazi ya kuwaweka wengine kwenye ulaji

By the way hatuhitaji kutawaliwa; iwe na wajinga au werevu tunahitaji watumishi wa kututumikia....
 
Dah hapa basi unaona umeandiiiiiiika anyway ndio ujinga wenyewe huu... kufikiria kuwa mtu atagawa hela yake kwa maskini yaani unaacha kushughulika na mfumo unashughulika na mtu na ndio ujinga
 
Nikajua kuna maswali, kumbe vijiswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…