Mbowe must go, hatukutaki!

Muulize kama na yeye ni mwanachama wa CHADEMA!Kakunja mgongo kama anakuna nazi kwa kuanzisha uzi kumbe bure beleshi kabisa.
 
Ondoka wewe
 
Acha uzwazwa we Lumumba buku 7
 
Huyu atakua Msigwa katika kandarasi yake mpya,ila jamaa ni zwazwa haswa amejua kujianika
 
Mbowe aliingia kwa kura atatoka kwa kura.
Ila tu ni busara sasa h wamnyime kura ili chama kiongozwe na Lisu au Heche .
Kwa sasa Mbowe hawezi kumwachia Mtu kwa sababu Wanachama wengi nje ya Wale wenye asili ya kabila lake larafiki ni zao la Dr. Slaa.
Zao la Dr. Slaa halikubali kamwe ufisadi na wizi wa mali za u0mma.

Mbowe sio tishio kwa wezi walioko CCM. Majizi ndani ya CCM ni marafiki wakubwa wa Mbowe.


Kwa hali iliyopo na misukosuko alitoipitia Mbowe ni wazi kuwa mbowe hapendi Lisu agombee Urais wala Mwabukusi wala Mpina.
Kwa mtizamo wa Mbowe ni bora mama aendelee kuliko Lisu au Mwabukusi au Dr Slaa ashinde ni bora Mama ashinde na kuendelea . Mbowe hataki tena Rais mwenye misimzmo mikali
 
Yaani mnataka mumfukuze mwenye taasisi! Haya ni maajabu. Mnataka amuachie nani chama kilichoanzishwa na baba yake pamoja na baba mkwe? CDM bila Mbowe ingekuwa ilishakufa. Jamaa ni kiongozi hasa.
 
Mbowe must go
 
Mbowe must go
 
Wenye maamuzi hayo ni wanachama? Ww ni mwanachama?
Siasa Siyo uadui wakati wote.Mbowe amejitahidi sana kupambana, amefungwa,amefilisiwa na amevunjwa mguu lakini hakukata tamaa,wengine wanashabikia nyuma ya keyboard,hawajui uchungu wa kupambana na CCM uso kwa uso. Lissu mwenyewe aliitisha maandamano 2020 baada ya kushindwa uchaguzi nchi nzima ikashindikana. wananchi wakamsaliti. Mapambano ya ukombozi siyo rahisi ki hivyo. Kinacho mshinda Mbowe na chadema ni CCM -chama dola. mapambano ni mchakato na ni dynamic. Sasa hivi Chadema elekezeni nguvu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa msiwajibu waliotumwa na wadaka vyeo.
 
Mnakumbuka shuka kumekucha?

Miaka yote tulivyokuwa tunawaambia hiyo ni NGO ya kifamilia, nini mlikuwa hamkielewi?
 
Mmh! Uzi umekaa ki-uvccm.
Mbowe
Mbowe must go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…