Mbowe must go.
Umeme ghali,unakatika katika Mbowe ni sababu.Mbowe must go.
Msafara wa Bi Tozo magari ya kufahari V8 147.Mbowe ndiye mnunuzi mkuu wa magari ya serekali [ Procurement Commissioner].Mbowe must go.
Ukosefu wa ajira,vijana wetu wamemaliza vyuo vikuu Medical Doctors, Nurses,Accountants,Marketing consultants,Financial consultants,Logistics management consultants......... wote hawana ajira tatizo ni Mbowe.Mbowe must go.
Reports mbaya za matumizi mabaya ya walipa kodi yamebainishwa na ofisi ya CAG hakuna aliyefungwa,hakuna aliyeshtakiwa,hakuna hatua za maana za kinidhamu zilizochukuliwa.Ukienda mbali Mbowe ndiye mtetezi mkuu wa wabadhirifu wa mali ya umma.Mbowe must go.
Mbowe kauza Ngorongoro,Kilimanjaro International Airport,Bandari,Misitu.........Mbowe must go.
Mbowe katuletea tozo za miamala ya simu,bill za Tanesco.....Mbowe must go.
Hali ya uchumi ni mbaya fedha za kigeni ni haba usd hazionekani mitaani.Usd zote Mbowe kazificha huko kwao Machame.Mbowe must go.
Maendeleo hakuna kwasababu ya Mbowe.Mbowe must go.
Aliyetuloga Watanganyika kazikwa wapi,tumfukue labda ataturejeshea akili na maarifa.