Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

Mbowe na genge lako mliomchukia hayati Magufuli, mtaanza kwenda kula krismasi mkipita juu ya daraja la wami ambalo mlidai ni megastructure ovyo

Narudia, kuna jina haters mnafanya jitihada zote msilitamke lakini nawaambia mtalitamka tu siku moja......mtalitamka tu na kufichua mazuri au sifa zake njema mnazozificha!!
 
We muuza bajia wa Tandika acha kiherehere. Hujui maana usimamizi wa pesa za umma? Subiri kula kwenda moshi na Mbowe huku mkipita juu ya daraja jipya.
Chawa kazini , wenzako akina Janabi wameteuliwa leo , wasalimie Geita
 
Sasa Nani Bora aliyelipa Kodi au anayetumia Kodi. Baadala muwasifu Wanachi kwa kulipa Kodi mmebaki kuwaabudu Viongozi wasioeleweka.
Tatizo lako ni kwamba umedandia treni kwa mbele, hujasoma mlolongo wa majibizano kuanzia mwanzo!
 
Wewe hulitumii? Nyie misukule ya jiwe mmejaa upumbavu sana miundombinu gani ya mkoloni ambayo haikutumika kwa mtanganyika?
Halafu nyie nyumbu mna matatizo sana, kazi kupinga tu kila kitu bila hata kufikiria. Unadharau ujenzi wa daraja, wakati huo huo unapiga jalamba daraja lifunguliwe uanze kutumia.
Hai five 🖐 kwa aliyewaita nyumbu, aliona mbali sana.
 
Wapi nimepinga ujenzi wa daraja hapa? Au uko na hangover?
 
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
Una uwendawazimu au umetumwa?
Kwa hiyo faraja umeiona ni Hilo tu Tanzania mzima.
Ni barabara inayopitiwa na kila mwananchi na wewe ukiwa mojawapo! Hilo swala la kuchukiwa mtu Fulani unalitoa wapi? Nani alikuambia alichukiwa wakati alikuwa kiongozi mwenye mamlaka zote za juu!?
Jiondoe ufahamu! Usisumbue watu na kututoa kwenye minofu ya Sangara na dawa zao za kuhifadhia!
Waziri aje aeleze vizuri.
 
Mlipayuka hovyo na kudai kuwa hayati JPM alipenda megastructure ambazo hazina msaada wowote.

Mlisahau kuwa dadaja la wami la sasa ni dogo na kiusalama lilikuwa halifai.

Leo mtaenda kula X mass huko kaskazini huku mkipita juu ya hilo daraja jipya mmekanyaga kibati 130km/hView attachment 2361027
We MBWA acha kuita Watu Wahuni, hio pesa haikutoka mfukoni mwake, shut up
 
Kama huyo mwendakuzimu alitoa hela yake ya mshahara kujenga daraja sawa ila kama ni kodi zetu wacha tukanyage kibati.
hatutegemei kiongozi atoe hela yake kutujengea miundo mbinu, tunatak kiongozi anayetumia hela zeta vizuri katika kutujengea miundombinu. hel za umma siyo za kutumia kwenye posho za vikao ni misafara
 
hatutegemei kiongozi atoe hela yake kutujengea miundo mbinu, tunatak kiongozi anayetumia hela zeta vizuri katika kutujengea miundombinu. hel za umma siyo za kutumia kwenye posho za vikao ni misafara
Unamtetea kibaka "maliyemu"?😂😂😂
 
Magufuli alijenga kwa hela ya mama yake? Kama kwao binafsi wangekua na uwezo kiasi cha kuwajengea watu madaraja wasingeshindia furu hebu wacheni upumbavu wenu.
Mbona kama una stress sisiter?
 
Back
Top Bottom