Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sihitaji katiba mpya sijui nini, ninachohitaji ni maendeleo. Huyo Mbowe aache bla bla zake.Mpaka wewe umeibuka leo!!!!
Nimeamini UVCCM huwa mnaambiwa nini cha kufanya kwenye mitandao.
Poleni kwa kushikiwa akili.
Poleni kwa kuwa misukule.
Poleni kwa kutobarikiwa akili ya kujipatia kipato kwa jasho.
Poleni.
Hamna haja kupigania Katiba wakati rais kaishasema wazi kuwa watanzania wampe muda watapata katiba.
Sihitaji katiba mpya sijui nini, ninachohitaji ni maendeleo. Huyo Mbowe aache bla bla zake.
Wanaukumbi,
Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini?
Sisi Watanzania tumechagua muhimu 2 na 3.
Mbowe na wafuasi wako mnachekesha sana hivi mnataka rais wetu afuate mnachotaka nyie kwa maslahi yenu?
Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.
Nakushauri Mbowe, zile pesa mlizorudishiwa na mahakama jengeni ofisi kwanza ondokeni Ufipa mlilpopanga vyumba viwili hamna Mtanzania anaweza kuwaamini wewe na kundi lako.
wananchi tunataka;
1. Maji safi na salama
2. elimu bora
3. barabara zenye kupitika
4. Umeme wa uhakika
5. pembejeo za kilimo na vitendea kazi.
Mbowe na chama chake ndio wanataka Mpya katiba.
wasubiri mpaka 2040.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuonyesha sehemu ambayo mleta mada ameandika kua;Siwapangii lakini policy ya JF inapinga masuala ya ubaguzi wa kidini/ukabila na hatespeech. Ssa mtu anakuja na mada eti Mbowe anampinga Samia kisa ni Muislam!! Seriously? Kwani JPM alikua Muislam pia?
Udini haupaswi kushabikiwa
Bhodogo...Kuna kiila dalili kuwa hawa wanasiasa wabovu, walevi na waongo wameanza kumpanda kichwani mama. Hivyo nakuomba mama yetu kipenzi chetu usiwajibu chochote wewe wakalie kimya tu ila warudishie mbabe wao Sabaya...
mabadiliko yatafanyika mwaka 2040 sio leo wala kesho, tuwe wavumilivu, tuchape kazi tuache kuwaza vyeo.Hakukuwa na katiba mpya, je kipi kilifanya hayo yasipatikane?
Upumbavu kama huu Haupo ...kama shanga zako zinakuwasha mfuate huko LupangoKuna kiila dalili kuwa hawa wanasiasa wabovu, walevi na waongo wameanza kumpanda kichwani mama...
Ulitaka iendeshwe na mwenyekiti mlevi?Kwamba nchi inaendeshwa kwa Rehema na Shukrani kwa Mwenyekiti wa CCM..
Long way to Freedom
Dawa yenu ni sabaya tu, ila hadi mwisho wa mwezi huu atakuwa huru jiandaeninimegonga
Lidislike la nguvu!
Mnamuigopa sana sabaya aisee, subirini kidogo mtaelewa.Upumbavu kama huu Haupo ...kama shanga zako zinakuwasha mfuate huko Lupango