Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Km wewe
 
Waliandamana wakasababisha kifo cha yule binti .....

Wanataka tena yatokee kwa WATOTO WENGINE.....

Mtu ana biashara mpaka nchi za nje(bepari)....huo uchungu kwa watanzania anaupatia wapi?!!!

Wanachama wa kawaida wanatumika katika "SACCOS ZA WATU"......

#KaziIendelee
 
Nakuunga mkono lkn sio Sabaya mwenyewe. Anatakiwa hawa watu watafutiwe mtu Sampuli ya Sabaya.

Muda mwingne tunamlaumu jiwe kuwatandika viboko lkn alikua sahihi. Mama ana siku100 tu ofisini lkn kelele zimekua nyingi nchi haitawaliki sasa. Kwa nn wapinzani hawana mshipa wa aibu kua kwa jiwe waliufyta na sasa wamepewa angalau nafasi ya kupumua.

Kwa nn watumie uhuru waliopewa kutaka kuleta vurugu nchini?

Mama Samia, rais wetu kipenzi usikubali, usikubali na usikubali. Wanakujaribu. Watembezee moto kiasi watambue nafasi yao kweny jamii. Wanataka watumie upole wako na neema uliyowapa kutaka kukutoa kwenye hicho kiti ulichokalia.
 
We jamaa napendekeza ukapimwe mkojo inawezekana malaria Kali imekupanda kichwani soon tutakupoteza!
 
Acha wamfundishe Mama aelewe kuwa JPM hakukosea kuenenda na hawa watu jinsi alivyo enenda nao. Lakini itamsaidia vile vile Mama kujua ushauri wa msoga ni wakummaliza na uliojaa unafiki mtupu.
 
Tatizo la Sabaya anaumiza zaidi hata wasio wanasiasa maadamu akijua tu unayo pesa
 
UKICHEKA na waliberali walioko katika vyama vya SACCOS za biashara zao BINAFSI ujue utavuna mabua.....

Maslahi ya nchi hii hayashikwi na VISACCOS vya siasa ambavyo vinawatumia VIJANA WASIOJITAMBUA kufanikisha malengo yao.....

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Kwa kifupi ni kwamba hata uwepo wao ni suala la kujadiliwa maaana tulitegemea siasa za maendeleo ya wananchi
 
Mama kaniondolea value retention fee kwenye mkopo wa bodi, kanipandisha daraja, eti shukrani yake niandamane...thubutuu hiyo katiba mpya itaniletea ugali mezani. Mama nimekupa mudaaa tutengenezee uchumi kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…