kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
Utakua una mimba ya jambazi weweDawa yenu ni sabaya tu, ila hadi mwisho wa mwezi huu atakuwa huru jiandaeni
Sio kwa utetezi huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua una mimba ya jambazi weweDawa yenu ni sabaya tu, ila hadi mwisho wa mwezi huu atakuwa huru jiandaeni
Mbona husemi dawa ni Mwendazake...Dawa yenu ni sabaya tu, ila hadi mwisho wa mwezi huu atakuwa huru jiandaeni
Huyo ndio dawa yenu, mnamuogopa sana. Mkimuona tu mnaanza kulowaUnataka Jambaz arudi madarakani?
Mkimuona tu mnaanza kujambajamba.Sabaya ndie aliekua akikutia?
Sabaya tu ndio aliwakomesha, subirini kaeni mkao wa kula.Mbona husemi dawa ni Mwendazake...
Arud tena anyooshwe kama jamaa ako
Yule wa Chato yupo wapSabaya tu ndio aliwakomesha, subirini kaeni mkao wa kula.
Muulize mwenyekiti wenu kwa nini alikimbia hai?
Km weweKuna kiila dalili kuwa hawa wanasiasa wabovu, walevi na waongo wameanza kumpanda kichwani mama.
Hivyo nakuomba mama yetu kipenzi chetu usiwajibu chochote wewe wakalie kimya tu ila warudishie mbabe wao Sabaya.
Sabaya aliwaweza kabisa, walikuwa hawana uwezo hata wa kukohoa mbele yake kuanzia chairman wa kudumu hadi mfagia ofisi wote waliufyata.
Walikuwa hawana hata muda wa kudai mikutano wala sijui katiba, wao walibali siku nzima kulia tu.
Hawa wanasiasa walevi usije ukawaendekeza hata kidogo hawanaga shukrani.
Ukitaka kuona hizi kelele zao zinaisha wakabidhi Ole sabaya, tena mpe wizara ya mambo ya ndani. Hutaona tena wala kusikia kelele yoyote, wanamuogopa sana sabaya. Walilia kila aina ya kilio
Mwenyekiti wa kudumu alikimbia kwao usiku usiku, hivyo wala usiwajibu hawa dawa yao ni huyo.
Ila sabaya aliwakomesha aisee, hizi kelele mlizoana kuzipiga zisingekuwepo.
Uchumi kwanza.
Katiba hata vikoba wanayo
#kazi iendelee#
Tatizo la Sabaya anaumiza zaidi hata wasio wanasiasa maadamu akijua tu unayo pesaKuna kiila dalili kuwa hawa wanasiasa wabovu, walevi na waongo wameanza kumpanda kichwani mama.
Hivyo nakuomba mama yetu kipenzi chetu usiwajibu chochote wewe wakalie kimya tu ila warudishie mbabe wao Sabaya.
Sabaya aliwaweza kabisa, walikuwa hawana uwezo hata wa kukohoa mbele yake kuanzia chairman wa kudumu hadi mfagia ofisi wote waliufyata.
Walikuwa hawana hata muda wa kudai mikutano wala sijui katiba, wao walibali siku nzima kulia tu.
Hawa wanasiasa walevi usije ukawaendekeza hata kidogo hawanaga shukrani.
Ukitaka kuona hizi kelele zao zinaisha wakabidhi Ole sabaya, tena mpe wizara ya mambo ya ndani. Hutaona tena wala kusikia kelele yoyote, wanamuogopa sana sabaya. Walilia kila aina ya kilio
Mwenyekiti wa kudumu alikimbia kwao usiku usiku, hivyo wala usiwajibu hawa dawa yao ni huyo.
Ila sabaya aliwakomesha aisee, hizi kelele mlizoana kuzipiga zisingekuwepo.
Uchumi kwanza.
Katiba hata vikoba wanayo
#kazi iendelee#
Sisi sio was... kama ww unaeshobokea wanaume wenzako, eti sabayaMkimuona tu mnaanza kujambajamba.
Ndugu, hebu tuwekee hapa hivyo vifungu.Rais akitumia madaraka yake kama katiba unavyomtaka mtaanza tena kulia kuwa Tanzania hamna demokrasia.