Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Ikianza na mimi
 
Watoto wa MBOWE tuwaone katika MAANDAMANO hayo yajayo.....

Waache kula bata na kuishi "kikwasi".....

Tuwaone wakipambana na FFU....

Nikiwaona nami nitajiunga na BAVICHA.....

#KaziIendelee
#WanaSiasaWaChademaNiWaigizaji
 
Umeongea point sana, hawa hawana shukrani hata uwafanyie jambo gani. Hivyo dawa yao ni sabaya tu, chama chote walimuogopa sana na kumheshimu
 
Kuna wale vijana wa CUF WALIOKUWA wakiandamana miaka ya nyuma.....

Saidi Kakote leo ni MLEMAVU WA MIGUU....

Bashiru Zembwe anatembelea KIBASKELI CHA MIGUU 3 kwao TANDALE.....

UJINGA MTUPU WA VYAMA HIVI VYA SACCOS......

#KaziIendelee
 
Huu sio muda wa zile siasa za kishamba 2015-2020, kamwe huyo sabaya hana nafasi kwa siasa za sasa kwani , Mama hausudu siasa hizo ndugu!!someni alama za nyakati.
 
Katiba ya Chadema inamruhusu kutawala maisha Chadema na nyie wafuasi wake mnakubali?
 
wananchi wangapi,unauwakika mimi nahitaji hiyo katiba jiseme nafsi yako
Mimi ndiye mwananchi mmoja wa hao. Nina uhakika, ninaihitaji..!

Bahati mbaya wewe hauhitaji. Ni wewe na baki hivyo hivyo utatukuta sisi mbele
 
Mtoa mada na genge lako mtupishe
Sababu ni wa mlengo ule wa kushoto ndio uje na upupu wako mbona wakati wa mtangulizi wake mlikuwa kimyaaaa
Nchi si ya kikundi fulani ni nchi ya wote so Katiba Mpya ni sahihi
Punguza mihemko
 
Poor thread from a poor mind.
 
Sawa hilo lipo wazi Rais juzi kasemaje?
Kwani Rais ni nani na ni kitu gani...?

Katiba ni KUU KULIKO Rais. Katiba ndiyo inayomfanya mtu awe Rais...

Wananchi hawahitaji ruhusa ya Rais kuitaka serikali ipange bajeti ya kugharamia mchakato huu...

Kama hataki kwa HIARI YAKE kuruhusu mchakato huu, basi NYAKATI na MAJIRA yatamlazimisha kwa lazima...

Mwendazake alikuwa kichwa maji kuliko huyu mama. Yuko wapi..?

Msimfanye mama wa watu afuate nyayo hatari za yule mtu (Mwendazake), mtu ambaye hakuwa hata na chembe ya adabu na heshima kwake mwenyewe, sheria za nchi na kwa wananchi wake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…