Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sabaya huyooooooYule wa Chato yupo wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sabaya huyooooooYule wa Chato yupo wap
Ikianza na mimiUzuri wa watanzania ni wazuri kusapoti katika kusema.
Lakini sio kusapoti ati kuandamana.
Siasa za tanzania sasa hivi na watanzania tulipofikisha na siasa ni kwamba ishu kama hii ya katiba mpya watakaokuwa na muamko wa kuandamana ni vyama pinzani.
Lakini kuna watanzania wengi ambao sio wanasiasa hawatoona umuhimu wa kuandamana.
Chama chote kiliufyata kwa sabayaKm wewe
Umeongea point sana, hawa hawana shukrani hata uwafanyie jambo gani. Hivyo dawa yao ni sabaya tu, chama chote walimuogopa sana na kumheshimuNakuunga mkono lkn sio Sabaya mwenyewe. Anatakiwa hawa watu watafutiwe mtu Sampuli ya Sabaya.
Muda mwingne tunamlaumu jiwe kuwatandika viboko lkn alikua sahihi. Mama ana siku100 tu ofisini lkn kelele zimekua nyingi nchi haitawaliki sasa. Kwa nn wapinzani hawana mshipa wa aibu kua kwa jiwe waliufyta na sasa wamepewa angalau nafasi ya kupumua.
Kwa nn watumie uhuru waliopewa kutaka kuleta vurugu nchini?
Mama Samia, rais wetu kipenzi usikubali, usikubali na usikubali. Wanakujaribu. Watembezee moto kiasi watambue nafasi yao kweny jamii. Wanataka watumie upole wako na neema uliyowapa kutaka kukutoa kwenye hicho kiti ulichokalia.
Sasa hivi itakuwa hao chama cha kikandaTatizo la Sabaya anaumiza zaidi hata wasio wanasiasa maadamu akijua tu unayo pesa
Chama chote mnamuogopa sabayaWe jamaa napendekeza ukapimwe mkojo inawezekana malaria Kali imekupanda kichwani soon tutakupoteza!
Sabaya ndio kiboko yenu nyie wenyeviti waleviSisi sio was... kama ww unaeshobokea wanaume wenzako, eti sabaya
Huu sio muda wa zile siasa za kishamba 2015-2020, kamwe huyo sabaya hana nafasi kwa siasa za sasa kwani , Mama hausudu siasa hizo ndugu!!someni alama za nyakati.Kuna kiila dalili kuwa hawa wanasiasa wabovu, walevi na waongo wameanza kumpanda kichwani mama.
Hivyo nakuomba mama yetu kipenzi chetu usiwajibu chochote wewe wakalie kimya tu ila warudishie mbabe wao Sabaya.
Sabaya aliwaweza kabisa, walikuwa hawana uwezo hata wa kukohoa mbele yake kuanzia chairman wa kudumu hadi mfagia ofisi wote waliufyata.
Walikuwa hawana hata muda wa kudai mikutano wala sijui katiba, wao walibali siku nzima kulia tu.
Hawa wanasiasa walevi usije ukawaendekeza hata kidogo hawanaga shukrani.
Ukitaka kuona hizi kelele zao zinaisha wakabidhi Ole sabaya, tena mpe wizara ya mambo ya ndani. Hutaona tena wala kusikia kelele yoyote, wanamuogopa sana sabaya. Walilia kila aina ya kilio
Mwenyekiti wa kudumu alikimbia kwao usiku usiku, hivyo wala usiwajibu hawa dawa yao ni huyo.
Ila sabaya aliwakomesha aisee, hizi kelele mlizoana kuzipiga zisingekuwepo.
Uchumi kwanza.
Katiba hata vikoba wanayo
#kazi iendelee#
Katiba ya Chadema inamruhusu kutawala maisha Chadema na nyie wafuasi wake mnakubali?Katiba ya chama ndiyo inamruhusu hiyo angekaa bila utaratibu wa chama ndiyo ingekuwa kosa, mbona hamsemi kuhusu uenyekiti wa Prof. Lipumba, Mrema, Cheyo au Mbatia? Tuwe na katiba yenye kujenga misingi ya utawala bora.
Magufuli alidai ananyosha nchi lakini uchumi umeanguka ktk kipindi chake toka asilimia 7 hadi 4, . Rais Samia anataka kukuza uchumi, je nani anajua Corona itaisha lini? Je akishidwa kupandisha uchumi? Mchakato uanze uende awamu kwa awamu tupate katiba nzuri
Tunazungumzia katiba yetu mimi na wewe, katiba ya wananchi.Badilisheni kwanza katiba ya Chadema punguani wewe.
Mimi ndiye mwananchi mmoja wa hao. Nina uhakika, ninaihitaji..!wananchi wangapi,unauwakika mimi nahitaji hiyo katiba jiseme nafsi yako
mbele wapi?Mimi ndiye mwananchi mmoja wa hao. Nina uhakika, ninaihitaji..!
Bahati mbaya wewe hauhitaji. Ni wewe na baki hivyo hivyo utatukuta sisi mbele
Poor thread from a poor mind.Kuna kiila dalili kuwa hawa wanasiasa wabovu, walevi na waongo wameanza kumpanda kichwani mama.
Hivyo nakuomba mama yetu kipenzi chetu usiwajibu chochote wewe wakalie kimya tu ila warudishie mbabe wao Sabaya.
Sabaya aliwaweza kabisa, walikuwa hawana uwezo hata wa kukohoa mbele yake kuanzia chairman wa kudumu hadi mfagia ofisi wote waliufyata.
Walikuwa hawana hata muda wa kudai mikutano wala sijui katiba, wao walibali siku nzima kulia tu.
Hawa wanasiasa walevi usije ukawaendekeza hata kidogo hawanaga shukrani.
Ukitaka kuona hizi kelele zao zinaisha wakabidhi Ole sabaya, tena mpe wizara ya mambo ya ndani. Hutaona tena wala kusikia kelele yoyote, wanamuogopa sana sabaya. Walilia kila aina ya kilio
Mwenyekiti wa kudumu alikimbia kwao usiku usiku, hivyo wala usiwajibu hawa dawa yao ni huyo.
Ila sabaya aliwakomesha aisee, hizi kelele mlizoana kuzipiga zisingekuwepo.
Uchumi kwanza.
Katiba hata vikoba wanayo
#kazi iendelee#
Kwani Rais ni nani na ni kitu gani...?Sawa hilo lipo wazi Rais juzi kasemaje?