Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Dawa yenu ni sabaya tu, ila hadi mwisho wa mwezi huu atakuwa huru jiandaeni
Hivi ninyi mnadhani Rais Samia ni shetani kama alivyokuwa marehemu? Hata mmshawishi vipi, Rais Samia kamwe hatakubali kumwiga shetani maana ana Roho wa Mungu.
 

Mawazo haya ni ishara na ni total representation ya UJINGA na UPUMBAVU wa baadhi ya wanadamu, likely wewe ukiwa mmoja wao...

Unawezaje kugombana na kubishana na ukweli ulio dhahiri shayiri mbele za uso wako...???
 
Mtoa mada na genge lako mtupishe
Sababu ni wa mlengo ule wa kushoto ndio uje na upupu wako mbona wakati wa mtangulizi wake mlikuwa kimyaaaa
Nchi si ya kikundi fulani ni nchi ya wote so Katiba Mpya ni sahihi
Punguza mihemko

Ulikoelekeza macho na kifua chako, ndiyo mbele...
Samahani nikulize ivi katiba ya chadema inamruhusu mwenyekiti kuongoza bila kuwa na ukomo?
 
Samahani nikulize ivi katiba ya chadema inamruhusu mwenyekiti kuongoza bila kuwa na ukomo?

Ya kwako, mkeo/mumeo na watoto wako inakuruhusu uwe baba au mama milele bila ukomo..?

Ukipata jibu lolote la NDIYO au HAPANA, basi likuongoze kupata jibu la swali lako...!

Halafu niulize swali jingine...
 
Umewapa za uso hawa CHADEMA. Mbowe hana mikakati yenye kuendana na wakati husika, hajabadilika.

Corona inaisumbua serikali, uchumi wa dunia nzima umedorora, watu wamepunguzwa makazini halafu Mbowe anakuja na siasa zisizo na kichwa wala miguu.
 
Ya kwako, mkeo/mumeo na watoto wako inakuruhusu uwe baba au mama milele bila ukomo..?

Ukipata jibu lolote la NDIYO au HAPANA, basi likuongoze kupata jibu la swali lako...!

Halafu niulize swali jingine...
Wewe ni hamnazo?
 

Hawataandamana kwa kuhofia kuuwawa, ila sio kwakuwa hawataki katiba mpya, au kuujua umuhimu wake. Mzungu gani anataka kumtumia Mbowe wakati ccm wameshawapa raslimali zote?
 
Kuna wale vijana wa CUF WALIOKUWA wakiandamana miaka ya nyuma.....

Saidi Kakote leo ni MLEMAVU WA MIGUU....

Bashiru Zembwe anatembelea KIBASKELI CHA MIGUU 3 kwao TANDALE.....

UJINGA MTUPU WA VYAMA HIVI VYA SACCOS......

#KaziIendelee

Watu Kibao wana ulemavu kutokana na ajali za vyombo vya usafiri, na bado wanatumia vyombo hivyo hivyo kusafiria. Ni hivi, katiba mpya ni lazima fullstop.
 
Mnachotakiwa ni kuwakumgusha tu, Ushindani wa kipi bora, Demokrasia na Maendeleo uliamuliwa na wananchi kwenye kampeni za uchaguzi 2020. Wapinzani (Chadema) walinadi Demokrasia, Katiba na Sheria, CCM walinadi Uhuru, Kazi na Maendeleo. Wananchi wakachagua Uhuru, kazi na Maendeleo.
Kulazimisha ghafla CCM ibadili muelekeo wa sera na Ilani yake ni sawa na kulazimisha CCM iwasaliti wapiga kura waliopendezwa na Ilani yao. Lakini ni ukweli pia mchakato wa Katiba ni mamilioni ya Pesa ambazo lazima zitafutwe, ziidhinishwe na kutungiwa sheria na Bunge. Mchakato wa Katiba si suala la kutamkwa liwe na likawa.
 
THUBUTUUUUU[emoji419]
Unamawazo potofu sana , swaziland wameandamana kwa mara ya kwanza kwenye historia yao .unafuatilia nini kinaendelea Kyle? Watanzania wanaweza kuwa wajinga lakini uvumilivu huwa unakikomo. Jiulize tz kunapolisi wangapi na raia ni wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…