Kuna kiila dalili kuwa hawa wanasiasa wabovu, walevi na waongo wameanza kumpanda kichwani mama.
Hivyo nakuomba mama yetu kipenzi chetu usiwajibu chochote wewe wakalie kimya tu ila warudishie mbabe wao Sabaya.
Sabaya aliwaweza kabisa, walikuwa hawana uwezo hata wa kukohoa mbele yake kuanzia chairman wa kudumu hadi mfagia ofisi wote waliufyata.
Walikuwa hawana hata muda wa kudai mikutano wala sijui katiba, wao walibali siku nzima kulia tu.
Hawa wanasiasa walevi usije ukawaendekeza hata kidogo hawanaga shukrani.
Ukitaka kuona hizi kelele zao zinaisha wakabidhi Ole sabaya, tena mpe wizara ya mambo ya ndani. Hutaona tena wala kusikia kelele yoyote, wanamuogopa sana sabaya. Walilia kila aina ya kilio
Mwenyekiti wa kudumu alikimbia kwao usiku usiku, hivyo wala usiwajibu hawa dawa yao ni huyo.
Ila sabaya aliwakomesha aisee, hizi kelele mlizoana kuzipiga zisingekuwepo.
Uchumi kwanza.
Katiba hata vikoba wanayo
#kazi iendelee#