Kama ni hivyo,basi wabakie waozeshe na meno yaliyobaki mdomoni tushindwe Kula nyama.wakifukuzwa wanarudishwa na mahakama tupo hapa nawaambiaa🤣🤣
Fafanua.Kuwafukuza ni kukizika chama
Kwani lazima kumuona mwenyekiti?Fafanua.
Mbowe alishindwa vp kwenda segerea kumwona mkt aende kimkazi bila hofu ya kuzama Nungwi?
Mrema pia alikaa jela sana, ila baadaye alidiriki kuacha kugombea ili Magu awe Rais.Jiulize liability ni ‘Mange na Maria’ au Lema.
Hakuna viongozi wa CHADEMA walau katika kamati ya muda mrefu waliochezea jela kama Lema, Mbowe na Lissu.
Hao watu wanaongea kupitia experience on what works, heshima hustle zao.
Chawa wa CCM arufuku kuingia humu Kwa kikao cha CDM,Kwani lazima kumuona mwenyekiti?
Acha utoto hivi wewe marehemu Mrema na Shibuda unaweza sema waliwahi toka CCM.Mrema pia alikaa jela sana, ila baadaye alidiriki kuacha kugombea ili Magu awe Rais.
Halafu uelewe Mange si cdm ni CCM.
Kwann hakwenda kumtembelea mkt gerezani.
Akifukuzwa Kuna hasara Gani ndani ya chama?
Alienda kuzinfua bwawa la Mwl Nyerere ashindwe kwenda tu hapo segerea
Ni aibu Lema ndani ya taasisi kulalamika Kwa individual Mange.Acha utoto hivi wewe marehemu Mrema na Shibuda unaweza sema waliwahi toka CCM.
Unataka kuwafananisha hao wanasiasa na Mange?
Unadhani kwanini Meta wamemfungia Mange ni kwa bahati mbaya au wamechukua responsibility ya taahira mmoja kuwaingiza watoto mtaani na kupoteza maisha.
In your little pathetic head unadhani Mange ana akili ya kuongelea serious issues.
You must be very stupid.
Meta wamechukua responsibility kumfungia taahira kutumia jukwaa lao kuhamasisha mataahira wenzake. Waliopoteza maisha kishamba.
Sasa aina maana naunga mkono unyama wa Samia na wahuni wenzake kupiga risasi watoto ambao wangeweza watawanya kwa mabomu ya machozi.
Walikuwa wanafikiria nini, hiyo story nyingine ya siasa. Juu ya uwezo wa Mange na Maria
Taahira mwingine;Ni aibu Lema ndani ya taasisi kulalamika Kwa individual Mange.
Anyway, Mange Hana kosa waandamanaji waliamua Kwa utashi wao kuandamana
Na si kosa kisheria kuandamana. Lema aache udalali.
Mbowe ajikite kwenya biashara zake
Serikali Haina haki kuua raia, Hilo haliruhusiwi popote duniani.Taahira mwingine;
Mkisha andamana wananchi; serikali ikawatwanga risasi.
Na huyo kiongozi wenu akawekwa jela; na kutoka ni utashi wao.
International community doesn’t care.
Bado unadhani strategy ya kushawishi watoto watu kwenda kupigwa risasi ki sahihi.
What an idiot
Kwa maneno yako inaelekea umeishiwa hojaLazima uwe taahira kweli kweli kudhani Mange na Maria wanaongea vitu vya maana
Sasa washafanya na dunia imeona.Serikali Haina haki kuua raia, Hilo haliruhusiwi popote duniani.
Iliyofanya hayo ni serikali haramu na itawajibishwa.
Kuhusu Lisu Hana cha kupoteza zdidi ya kupoteza serikali haramu completely
Basi wawe suspended indefinitely.wakifukuzwa wanarudishwa na mahakama tupo hapa nawaambiaa🤣🤣
Liability zikiondoshwa, kampuni itapandisha faida na balance sheet inatally kama kawaBalance sheet must Balance