Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Operesheni Haki hadi nje ya nchiAsante
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Mzungu anamshangaa tu Tundu Lissu
Anasema jamaa mzima kumbe!!
Kila mtu na fungu lake.wewe Lima kitunguu mwingine korosho. Hatutafanana kamweLissu rudi nyumbani tulime vitunguu vinalipa sana
Usione aibu mkuuMkutano wa puppets.
Unalipwa shilingi ngapi kwa kukubali kuwa mjinga?Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU
Endelea kubaki hapa hapa JF... bro hebu lete full speech ya Mwamba akitema yai lililojaa madini acha kuleta vitu nusunusu Chief! Jamaa namwaminia sana linapokuja suala la public address ni level nyingine.
Akijibu nistue !Unalipwa shilingi ngapi kwa kukubali kuwa mjinga?
Huyu ni mjinga haswa!Akijibu nistue !
Ndu*gay* akimwona Lissu CD4 zinashuka kwa kasi
Mmebaki mitandaoni tu. Huku mtaani kuna CCM.Pichani ni Mh Tundu Lissu akisalimiana na Mh Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo
View attachment 1828700
Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.
View attachment 1828704
Mjinga ni Wewe unayekuwaga na comment moja unaikopi na kuipesti kila mahali!Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU