Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una roho ngumu sana !Mmebaki mitandaoni tu. Huku mtaani kuna CCM.
HakikaTanzania inazidi kuwakilishwa vyema kimataifa.
Fanza bidii watoto wako wapate elimu bora.Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU
Bashite kuna siku utatamka tuNingeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU
Hakika
mkuu kama video umepata unaweza kushirikisha wadau wengine wafaidiFreeman Mbowe na Tundu Lissu wametoa nondo kali mbele ya hadhira hii ya kimataifa na kukubali upinzani Tanzania kuna vichwa vikali na ni suala la muda tu mfupi watawala watakubali serikali ya umoja yenye mashirikiano kuelekea 2025.
Wa kimataifaPichani ni Mh Tundu Lissu akisalimiana na Mh Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo
View attachment 1828700
Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.
View attachment 1828704
Daah Hawa vichwa ni hazina ya afrika.Freeman Mbowe na Tundu Lissu wametoa nondo kali mbele ya hadhira hii ya kimataifa na kukubali upinzani Tanzania kuna vichwa vikali na ni suala la muda tu mfupi watawala watakubali serikali ya umoja yenye mashirikiano kuelekea 2025.
AMINAUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
mjinga ni wewe, wewe hata visa ya kweda libya huwezi pata, sasa unaongea habari ya mtu ambae dunia nzima inafahamu kile watu kaa wewe na jiwe mulifanya, alikuitisa hela ya kuzunguka huko ulaya, unajua miga ni nini na ni kesi aina gani hupelekwa huko, anyway jiwe mfalme wenu ako na shetani sasa, uko na uji kichwani badala ya akiliNingeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU
Anza kujiandaa kumfata mwenda zake kwa kukubali ujingaNingeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?
UJINGA MTUPU
Yuda Iskarioti akiongoza genge la waandishi na mafarisayo. Leo kavaa barakoa ya msiba kulikoni? Alizunguluka nji nzima pekepeku mdomoni akitangaza ushindi alipoonavkura hazitoshi akakimhilia ubaloziniPichani ni Mh Tundu Lissu akisalimiana na Mh Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo
View attachment 1828700
Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.
View attachment 1828704
Nakushauri .. acha ushoga.Yuda Iskarioti akiongoza genge la waandishi na mafarisayo. Leo kavaa barakoa ya msiba kulikoni? Alizunguluka nji nzima pekepeku mdomoni akitangaza ushindi alipoonavkura hazitoshi akakimhilia ubalozini
Mungu ibariki CHADEMAPichani ni Mh Tundu Lissu akisalimiana na Mh Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo
View attachment 1828700
Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.
View attachment 1828704
Kuwa Kiongozi wa Chama kikubwa kama CCM lazima uwe na roho ngumu, ndio maana ipo Jana, leo na kesho kwasababu ya watu kama sisi!una roho ngumu sana !