Mbowe na Lissu wahudhuria Mkutano wa vyama vya Kidemokrasia ukanda wa Afrika Mashariki Jijini Nairobi

Mbowe na Lissu wahudhuria Mkutano wa vyama vya Kidemokrasia ukanda wa Afrika Mashariki Jijini Nairobi

Tundu Antipas Mughwai Lisu is one of the greatest minds in the country that is not well utilized.

Why do we give people with weak minds the opportunities to be leaders and not those like Lisu?

Something is wrong somewhere in this country.
 
Freeman Mbowe na Tundu Lissu wametoa nondo kali mbele ya hadhira hii ya kimataifa na kukubali upinzani Tanzania kuna vichwa vikali na ni suala la muda tu mfupi watawala watakubali serikali ya umoja yenye mashirikiano kuelekea 2025.
mkuu kama video umepata unaweza kushirikisha wadau wengine wafaidi
 
24 June 2021
Kilicho katika kitabu cha Tundu Lissu kwa ufupi

Mh. Tundu Lissu : Kuzinduwa Kitabu chake: Remaining in Shadows: Parliament & Accountability in East Africa

Source : Swahili Villa
 
Ningeshangaa msaliti kulipwa hela. Kwa kazi ipi aliyofanya? Kwa kuzunguka nchi za ulaya akiitukana Tanzania na watanzania?
Tutashitakiwa MIGA?

UJINGA MTUPU
mjinga ni wewe, wewe hata visa ya kweda libya huwezi pata, sasa unaongea habari ya mtu ambae dunia nzima inafahamu kile watu kaa wewe na jiwe mulifanya, alikuitisa hela ya kuzunguka huko ulaya, unajua miga ni nini na ni kesi aina gani hupelekwa huko, anyway jiwe mfalme wenu ako na shetani sasa, uko na uji kichwani badala ya akili
 
Pichani ni Mh Tundu Lissu akisalimiana na Mh Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo

View attachment 1828700

Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.

View attachment 1828704
Yuda Iskarioti akiongoza genge la waandishi na mafarisayo. Leo kavaa barakoa ya msiba kulikoni? Alizunguluka nji nzima pekepeku mdomoni akitangaza ushindi alipoonavkura hazitoshi akakimhilia ubalozini
 
Nakushauri .. acha ushoga.
 
Pichani ni Mh Tundu Lissu akisalimiana na Mh Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo

View attachment 1828700

Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.

View attachment 1828704
Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom