MkuuEeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Kila kitu kilifanyika kwa udharura. Wakati wanashuka airport Nairobi, ambulance za hospitali mbili tofauti zilikuwa zinawasubiri kwa kuwa Wenje alitafuta hospitali moja, baadaye akapata nyingine yenye unafuu, na zote zikaleta ambulance. Hopefully you can see that spiritKwamba ile stand ya drip ilikosekana?
Wewe ni mwanasiasa.Kila kitu kilifanyika kwa udharura. Wakati wanashuka airport Nairobi, ambulance za hospitali mbili tofauti zilikuwa zinawasubiri kwa kuwa Wenje alitafuta hospitali moja, baadaye akapata nyingine yenye unafuu, na zote zikaleta ambulance. Hopefully you can see that spirit
All citizens have to beWewe ni mwanasiasa.
Utalipa kiasi gani uamuzi wa Mbowe kukataa Lissu asipelekwe Muhimbili na aende Nairobi?Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Ndio tunataka tumlipe sasa maana tumechoka oooh nilimsaidia saidia kwaiyo kama ulimsaidia ndio ung'ang'anie madarakaniMkuu
Ukisikia jamaa anavyolalamikia kumlipia tiketi, nyumba na gari halafu ndo kipindi cha kampeni. basi ujue jamaa alishafilisika kifikra kitambo sana. Sisi tulichelewa kufahamu hilo
Kwaiyo kama alifanya hivyo ndio Lisu amuogope mbona serikali inatufanyia mambo mengi sana na bado tunaichallege watoto zetu wanasoma bure nk mbona bado tunainanga serikaliUtalipa kiasi gani uamuzi wa Mbowe kukataa Lissu asipelekwe Muhimbili na aende Nairobi?
Unadhani angepelekwa Muhimbili ungemuona Leo?🤔
Ndio ndioKama bwai na iwe bwai, mwaga mboga nimwage ugali
Tehe Tehe usishangae DJ akasema tokeni wote niachieni chama changu chama cha baba mkwe hiki tokenikwani yeye mbowe hajawahi kusaidiwa na mtu? kachota hekima na maarifa mengi sana na bila Lisu icho chama kisingefika hapo, Lisu kasacrifice sana na hadai deni. na si ukute ni Lisu alimshauri DJ hata kwenda kusoma english course.
Ni vile umri ni namba tu. Angerudi sekondari kwanza darasa la.balehe ya kwanza.Ndio tunataka tumlipe sasa maana tumechoka oooh nilimsaidia saidia kwaiyo kama ulimsaidia ndio ung'ang'anie madarakani