Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
MkuuEeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Ukisikia jamaa anavyolalamikia kumlipia tiketi, nyumba na gari halafu ndo kipindi cha kampeni. basi ujue jamaa alishafilisika kifikra kitambo sana. Sisi tulichelewa kufahamu hilo