Mbowe na wapambe wake tuambieni kiasi gani mbowe alitumia kumsaidia Tundu Lissu tumlipe

Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Mkuu
Ukisikia jamaa anavyolalamikia kumlipia tiketi, nyumba na gari halafu ndo kipindi cha kampeni. basi ujue jamaa alishafilisika kifikra kitambo sana. Sisi tulichelewa kufahamu hilo
 
Kwamba ile stand ya drip ilikosekana?
Kila kitu kilifanyika kwa udharura. Wakati wanashuka airport Nairobi, ambulance za hospitali mbili tofauti zilikuwa zinawasubiri kwa kuwa Wenje alitafuta hospitali moja, baadaye akapata nyingine yenye unafuu, na zote zikaleta ambulance. Hopefully you can see that spirit
 
kwani yeye mbowe hajawahi kusaidiwa na mtu? kachota hekima na maarifa mengi sana na bila Lisu icho chama kisingefika hapo, Lisu kasacrifice sana na hadai deni. na si ukute ni Lisu alimshauri DJ hata kwenda kusoma english course.
 
Wewe ni mwanasiasa.
 
Mbowe bhana yaani mtu kugombea cheo chake imekua vita anasema alimsaidia sasa hayo maisha si ya kawaida tu kusaidiana wanaume jamaa kweli ni mtoto wa mama wasizwa wakisaidia hata mkipishana maisha yanaendelea hakuna kutangazana tena..
 
Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
Utalipa kiasi gani uamuzi wa Mbowe kukataa Lissu asipelekwe Muhimbili na aende Nairobi?
Unadhani angepelekwa Muhimbili ungemuona Leo?🤔
 
Mkuu
Ukisikia jamaa anavyolalamikia kumlipia tiketi, nyumba na gari halafu ndo kipindi cha kampeni. basi ujue jamaa alishafilisika kifikra kitambo sana. Sisi tulichelewa kufahamu hilo
Ndio tunataka tumlipe sasa maana tumechoka oooh nilimsaidia saidia kwaiyo kama ulimsaidia ndio ung'ang'anie madarakani
 
Utalipa kiasi gani uamuzi wa Mbowe kukataa Lissu asipelekwe Muhimbili na aende Nairobi?
Unadhani angepelekwa Muhimbili ungemuona Leo?🤔
Kwaiyo kama alifanya hivyo ndio Lisu amuogope mbona serikali inatufanyia mambo mengi sana na bado tunaichallege watoto zetu wanasoma bure nk mbona bado tunainanga serikali
 
kwani yeye mbowe hajawahi kusaidiwa na mtu? kachota hekima na maarifa mengi sana na bila Lisu icho chama kisingefika hapo, Lisu kasacrifice sana na hadai deni. na si ukute ni Lisu alimshauri DJ hata kwenda kusoma english course.
Tehe Tehe usishangae DJ akasema tokeni wote niachieni chama changu chama cha baba mkwe hiki tokeni
 
Ukweli ni kitu cha ajabu, kama kweli Mbowe alihusika katika shambulio la Lissu basi ule mpira wa damu alioshikilia kwenye ndege angeachia ili kutimiza lengo lake. Ni kithibitisho wazi kinachoonyesha hakuhusika. Au labda tuwaulize waliomsindikiza, huenda alitaka kuuchomoa wakamzuia.
 
Mkikosa vyakuandika muwe ata mnalala sio kuja kuandika ujinga usio na manufaa.
 
Back
Top Bottom