Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mimi sina imani na huyo jaji,maana ni wazi anafuata maagizo toka juu.Lakini kwa kuwa ni maagizo toka kwa binadamu na siyo kwa Mungu basi tunaomba huyu jaji aongozwe na Mungu ili afuate sheria na haki iweze kutendeka.
 
Ikionekana tu idadi ya manjagu ni wengi eneo la mahakama, basi majibu ya Jaji yatakuwa Mbowe ana kesi ya kujibu...
Akiachiwa umati wa watu utapagawa na huenda furaha ikasababishwa uvunjifu wa amani, hapa inabidi polisi wengi kudhibiti wafuasi.
Akiwa na kesi ya kujibu wafuasi watahuzunika na kuondoka kimyakimya. Hivyo polisi wachache tuu kamrudisha jela.
 
Leo ccm watapata jibu kuwa Chadema Ina wafuasi wa kweli na hawateteleki kabisa na watajua upinzani ni upenzi kama ilivyo uyanga na usimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…