ngendabanka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2020
- 252
- 314
Mimi sina imani na huyo jaji,maana ni wazi anafuata maagizo toka juu.Lakini kwa kuwa ni maagizo toka kwa binadamu na siyo kwa Mungu basi tunaomba huyu jaji aongozwe na Mungu ili afuate sheria na haki iweze kutendeka.