Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Leo kuna rulling
 
Mkuu mbona hiyo saa 8:55 bado haijafika?
 
Saa 7:55 siyo 8:55

Ni hilo tu.
 
Wachache sana, CCM wakiamua kukusanyana hapatatosha. Kikundi kidogo cha watu wachache majangili wamekusanyika kusema Rais.
 
Hawa majaji wana tabia ya kuahirisha maamuzi hadi waipangie tena siku nyingine, sijui mantiki yake waga ni nini..!!
 
Nakala kwa Sirro

Your browser is not able to display this video.
 
Jaji kama ambavyo Mawakili Wame zungumza Kwamba Shauri lipo Mahakamani Kwa ajili ya Uamuzi Mdogo.. Na Uamuzi huu Mdogo upo tayari, Nafanya Chini ya Kifungu cha 41 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi, Sura ya 200, Ikitaka Kujibu Kama Washtakiwa Wana la Kujibu au Hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…