Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

We jamaa hujui utaratibu wa mahakama, leo hakuna hukumu yoyote ya kwenda jela, bali uamuzi wa jaji kutokana na ushahidi uliotolewa na mashahidi 13 wa upande wa mashataka, jaji leo ndio atasema washtakiwa wana kesi ya kujibu au la?

Kama watakuwa na kesi ya kujibu wataanza kujitetea au kama hawatakuwa na kesi ya kujibu wataachiwa huru.
Leo kuna rulling
 
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana.

Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya kujibu au hawana ni leo 18 Februari 2022 ambapo Jaji Tiganga anatarajiwa kutoa maamuzi hayo katika mahakama kuu ya Uhujumu Uchumi na Rushwa.

Kujua kesi ilipoishia fungua kiunganishi hiki: Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

=========

UPDATES

1230hrs: Freeman Mbowe na wenzake, bado hawajafikishwa Mahakamani. Kesi itaanza kusikilizwa saa nane za Mchana.

1330hrs: Freeman Mbowe na Wenzake wamefikishwa mahakani.

=========

Jaji ameingia Mahakamani Saa 8 na Dakika 55.. Yupo Tayari..

Kesi namba 16 ya Mwaka 2021 Jamhuri Dhidi ya Khalfani Bwire, Adam Kasekwa, Mohammed Ling'wenya na Freeman Mbowe inatajwa hapa Mahakamani Muda huu

Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Ikupendeze naitwa Robert Kidando nipo pamoja na

  • Wakili Pius Hilla
  • Abdallah Chavula
  • Jenitreza Kitali
  • Nassoro Katuga
  • Esther Martin
  • Ignasi Mwinuka Mawakili Wa Serikali Waandamizi na
  • Wakili Tulimanywa Majige Wakili wa Serikali
Mkuu mbona hiyo saa 8:55 bado haijafika?
 
Saa 7:55 siyo 8:55

Ni hilo tu.
 
Wachache sana, CCM wakiamua kukusanyana hapatatosha. Kikundi kidogo cha watu wachache majangili wamekusanyika kusema Rais.
 
Hawa majaji wana tabia ya kuahirisha maamuzi hadi waipangie tena siku nyingine, sijui mantiki yake waga ni nini..!!
 
Nakala kwa Sirro

Jaji kama ambavyo Mawakili Wame zungumza Kwamba Shauri lipo Mahakamani Kwa ajili ya Uamuzi Mdogo.. Na Uamuzi huu Mdogo upo tayari, Nafanya Chini ya Kifungu cha 41 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi, Sura ya 200, Ikitaka Kujibu Kama Washtakiwa Wana la Kujibu au Hapana
 
Back
Top Bottom